Phantom 8 ni dhoruba kutoka tecno

Tusaidie na bei yake mtaani ikoje?
 
Yaani Android 7.0 tena, kwanini isiwe Android 8.0 Hawa Tecno mbona wapo nyuma sana!!!!!
 
Nilinunua tecno c9 hata mwaka haijamaliza inamatatizo ninewarudishia maana ipo ndani ya warranty Mwezi sasa ngoma imezima haiingizi Charge sitaki hata kuwasikia
 
screen bado full HD na sio AMOLED wakati note 4 ilitoka mwaka 2014 na ina QHD na AMOLED. Halafu tecno ninavyowajua wataiuza laki 9.
 
Mimi kinachonishangaza kwa android ni hizo ram uwa najiuliza zina kazi gani kwenye simu.
Hivi kuna game au app ya simu yenye kuihitaji hizo ram zote au ni mbwembwe za kuweka specifications nyingi hata zisizo na faida kwa mtumiaji.
 
tangu chief mkwawa awekage ushahidi hizi simu za wachina zinapenyeza mionzi hadi katikati ya kichwa sitaki kuzisikia, ni kama malaya aliependeza
 
*speculations* au specifications?
Hebu fafanua
 
Hizo spesifications za camera na ram nzuri
Bei ni dola ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…