Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!

Status
Not open for further replies.
Shame on you. Kwenye siasa kuna Professor? Professor UDSM, UDOM na Vyuoni huko. Tafuta hoja za msingi that is too weak. Kikwete ana usomi gani? Mbona anaongoza maprofessor na hamsemi. Mkiishiwa pozi, mnakuja na vihoja dhaifu kabisa. F..k You.
 
Unajiona uko uchi sasa kwa majibu uliyoyapata sasa
Tumia kichwa kufikiri si kufugia nywele
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Kwanini kinakukera hivyo??? Rais ABDUL WAKIL wa ZANZIBAR aliiongoza hiyo nchi na alikuwa failure Darasa la Nane???

POLITICS sio EDUCATION kama ni hivyo basi TUNGEKUWA MBALI Hasa sababu rais wetu wa sasa KIKWETE ana Ph.D 3

What Matter kwenye siasa ni HEKIMA...!!!

c.c soma historia za Wanasiaa kwanza; HAMY-D
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

My friend, I guess u have a load of sponge in that skull of yrs instead of brain!! Tell me, who is senior amongst the two, yr Professor Majimarefu or yr Chairman Kikwete? Young man, control yr thirst for the 7 thousands from Lumumba Street.... Lazy lot!!
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Sasa Prof. Muhongo, Mwakyembe watasema nini kuongozwa na JK? ......Ooh Ai amu veri sori ai fogoti Mista Prezidenti hazi pihechidii ovu naniii
 
Mleta uzi huu acha kuandika kwa kufikiri kwa makalio, lete hoja! Mbona raisi wa nchi, waziri mkuu, katibu mkuu kiongozi, jaji mkuu, mwanasheria mkuu, mkurugenzi wa mashtaka, mkuu wa majeshi, igp sio maprofesa na wanawaongoza maprofesa na madoctor? Wewe mbulula kweli.
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.
Anza kwa kukosoa waliokutuma kwanza, mbona huoni la mwenyekiti wako mwenye degree ya kupewa?
 
Mbowe ni Steve Jobs ukiwa na akili nyingi shule unwaachia wajinga ambao hawana werevu.
 
Chagadema ndio wanaosababisha ongezeko wa division ZERO hapa nchini kwa kuwa viongozi wengi wa cdm ni role models wa vijana waliopo mashuleni hasa wasiojitambua hivyo wanaona kama dj mbowe alipata KIDUARA/ZERO na ni mwenyekiti wa chama taifa hivo na vijana wa shule wanaona hata wakifeli watakuwa viongozi wa cdm
 
Sasa Prof. Muhongo, Mwakyembe watasema nini kuongozwa na JK? ......Ooh Ai amu veri sori ai fogoti Mista Prezidenti hazi pihechidii ovu naniii

Mkuu una utani na shahada za watu, je, wamkumbuka papii kocha? Just to remind you that "dhoz pii echi dii ov dhe so kold prezidaa havu tu be onadi bikozi dhei aa onorare digriiz", woch aut broo.
 
Mbona lukuvu ni mwalimu wa upe lakini anaongoza wasomi kwenye wizara. Nataka nikufahamishe uongozi siyo kisomo ila uwezo wa kupewa na Mungu. Kuna wasomi wabovu kama Pro. Kapuya, Maghembe, Muongo, Tibaijuka ...... Tumia hekima kuanzisha mada na siyyo kukurupuka kwa sababu za chuki na ushabiki. After ni bora kuwa kwenye chama kinachoongoza wasomi wanaofikiri siyo kama maccm akili huacha nyumbani.
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Acha waongozwe tu, THE ARE JUST Ph.D HOLDERS
 
Sir Winston Churchill, mmoja wa Mawaziri Wakuu mashuhuri wa Uingereza hakuwa na shahada ya chuo kikuu. Lakini aliongoza Uingereza vizuri. Pia Waziri Mkuu mwingine wa Uingereza John Major allishia sekondari tu. Kuna Phd holders wangapi wakipewa uongozi wanaboronga?
 
unapoleta hoja, jaribu pia kuangalia na upande wako ndugu, du ona sasa majibu ulioyapata.
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Wewe jamaa unaonekana una upungufu wa akili ktk kuhoji mambo! Hujui kama naibu waziri wako wa ELIMU ana Diploma lkn amewekwa kuongoza wasomi kama kina Prof. Sifuni Mchome (katibu mkuu-Elimu)?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom