Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

Huyu Bilionea ndio amemnunulia shemeji yake Diamond hoteli, Sinza.
 
Petitman huyu ni Bilionea toka Congo DRC anaeishi TZ kwa muda mrefu sasa. Inasemekana yeye ndo anamfadhili kijana wetu Dangote kifedha ili kuendesha ofisi na kufanikisha shoo zake ikiwemo hii ya karibuni ya A BOY FROM MADALE. Kwa niaba ya Watanzania natoa shukrani za dhati kwa Mhe. Dr. Petitman.
Nimemsoma mleta mada ni mshenzi nia yke hasa ilikuwa petitman atukanwe io ndio ilikuwa shida yke
 
Jamaa unataka usababishe shemela wa Domo awe anazurula viunga vya vijana wa kamanda Sirro kuhojiwa.
 
nafurahig sana huyo jamaa nikimuona.. ana furaha mda wote.. nahisi ni bilionea wa furaha sio wa fedha... maisha yake simple sana ila ana furaha sana.. ukimwona muda wote
Uko sawa, furaha hailetwi na pesa
 
Back
Top Bottom