Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,560
32,197
Petitman huyu ni Bilionea toka Congo DRC anaeishi TZ kwa muda mrefu sasa.

Inasemekana yeye ndo anamfadhili kijana wetu Dangote kifedha ili kuendesha ofisi na kufanikisha shoo zake ikiwemo hii ya karibuni ya A BOY FROM MADALE.

Kwa niaba ya Watanzania natoa shukrani za dhati kwa Mhe. Dr. Petitman.
 
Wanongo bwana, kwa kifupi event nzima imekuwa sponsored na safaricom, diamond kashalipwa chake. Ni sawa na kusema huyo petit man kawasaidia safaricom kufanikisha event ya diamond huko Kenya. Ninaamza kuamini kwa nini diamond hakufanya hiyo event Tanzania, maana hata juhudi zake ndogo hamuamini mpaka mnaanza kutafuta nani yupo nyuma yake. WaTz wengi hawaamini kufanikiwa bila kubebwa.
 
Petitman huyu ni Bilionea toka Congo DRC anaeishi TZ kwa muda mrefu sasa. Inasemekana yeye ndo anamfadhili kijana wetu Dangote kifedha ili kuendesha ofisi na kufanikisha shoo zake ikiwemo hii ya karibuni ya A BOY FROM MADALE. Kwa niaba ya Watanzania natoa shukrani za dhati kwa Mhe. Dr. Petitman.
Hata hujui lolote. Lep hii Petit ni Bilionea . Vichekesho vingine bana
 
Back
Top Bottom