Uyu jamaa shuhuli yake hasa nini hapa mjini
uyo jamaa simuelew kabxaaa!!! mwanaume aso na shughuli!!! ni utumwa coz naxikia anampelekea hadi maji bafuni!!!
Uyu jamaa shuhuli yake hasa nini hapa mjini
Ila aliyefanya makeup kwa wema hii siku lazma alikuwa ana beef nae!!
Cha kumremba kama jike la chui wa serengeti niiiini??
Wamuache kina nani?Petit-man na wakuacheeeeee!!!!
Mh Wema km ka sanamu au mdoli
Eti bora kunyanganywa mke hahah!
Mi nikadhani Petit mwenyewe ndo katamka hivyo kumbe udaku wamethaminisha tu!!
Haha umetisha Money Stunna unamkaribia binamu warumi
sishangai kabisa kwani alishawahi kukataa mipango ya kazi na kina kavira kisa wema!
Wamuache kina nani?
Na kwani wamemshika Mpaka unasema wamuache?
Uyu jamaa shuhuli yake hasa nini hapa mjini
Sikapend kanavyojishau kale nfyuu
Yaan ni mzuri hiyo sura alifaa awe nayo Esma sura ngumu😁😁😁😁hivi kajifungua na ni wangapi huyoo mtoto