Petiman: Bora ninyang'anywe Mke kuliko kuachana na Wema Sepetu

Jamani nasikia huyu Petit ni meneja wa msanii mirror ambaye uyo mirror yuko chini ya wema
 
sishangai kabisa kwani alishawahi kukataa mipango ya kazi na kina kavira kisa wema!
 
Ila aliyefanya makeup kwa wema hii siku lazma alikuwa ana beef nae!!
Cha kumremba kama jike la chui wa serengeti niiiini??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom