Bob Junior: Mke wangu mzuri kuliko Wema Sepetu na Mastaa wote Bongo Movie

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,190
3,685
Habari wazee wenzangu hapa JF...

Hilo Bango Hapo Juu sio maneno yangu bali ni maneno ya mkali anaetamba na nyimbo mpya (ILOVE YOU) Bob Junior

Akizungumza usiku wa kuamkia leo katika mahojiano na kipindi cha Lavidavi na Divathebowse, ameweka wazi Kua Na mke Mzuri Kumzidi Wema Sepetu,

Akaongezea Kua Hakuna Mwanamke mzuri bongo movie anaemfikia mkewake kwa uzuri. Kuhusu Mafanikio Amesema Anautajiri Wa Kufikia Bilioni 5 Ananyumba 7 Mjini dar ni Mfanya Biashara Mkubwa Anavaa Vitu Vya Milioni 5

133238956_445288773511749_7345728027139291765_n-810x974.jpg
 
Sifa za mtu ni tabia njema, ukarimu, kufuata maadili
Mtu ana sifa zaidi ya uzuri wa sura

Kata wanyama kuna watu wanasema mbwa wangu mzuri
Know why?
Anamlindia nyumba vizuri

Sasa unamsifia mtu tena mke Halafu mambo yakiwa mambo uje ulie tena na ugomvi wa mirathi

Mimi sio mchimvi ila mambo haya yanatokea sana
 
Sasa ndo tuanze kubishania mke mzuri hapa!.. mbona hata mi ninae mchumba mzuri! Mambo ya ajabu haya
Mimi nimeona ni kitu cha ajabu ndio maana nikaona nililete huku ni shee na nyie ili muone wasanii wetu wanavyokwenda kwenye interview

Kufanya mahojiano na kujikuta hawana cha kuongea
 
Kama ameMlinganisha huyo mkewe na Wema Sepetu!...bASI MJUE KUWA Bob jr ni wazi kabisaaa anamkubali mnooo WEMA! tena kwake wema ni mzuri sana kwa nini asiseme wengine mpaka amtaje wema?

Ina maana yumo akilini mwake kila siku akitembea hivi na roho yake inauma!! Wema hongera sanaaaaa!! kwa kutajwa na Mastar weye kanyaturu ka watu ni mzuri bana!! wala usiwajibu wewe ni mzuri hasa!

Huyo Bob mbona nae mrembo ivo ke hawapendagi warembo!! wao ni mume jasho tu! jeusiiii.... mla ugali hasa akikamata tonge la bingale hee! kazi kazi! ni ili alikamate vizuri! sasa mme lainiii km demu???

Dume halembi kula yeye ni kumeza matongee tuu!! bila kutafuna! limnofu la mapande kama yale ya kapir point analikata mara mbili tu! maminofu ya kiti moto anayatafuna kama simba! nyamuunyamuuu!

dDakika mbili ugali kwisha ....unaandaa mwingine faster!! na kwa ajili hiii anatafuta misosi sana nyumba yake haipungukiwi! misosi ndo wanawake wooote tunapenda hii! siyo ka mwanaume kama kagonjwa vile!

Sasa huy akipigwa ngumi tu na mkewe kaumuka jamani mwee ke mna kazi sana!
 
Sifa za mtu ni tabia njema, ukarimu, kufuata maadili
Mtu ana sifa zaidi ya uzuri wa sura

Kata wanyama kuna watu wanasema mbwa wangu mzuri
Know why?
Anamlindia nyumba vizuri

Sasa unamsifia mtu tena mke Halafu mambo yakiwa mambo uje ulie tena na ugomvi wa mirathi

Mimi sio mchimvi ila mambo haya yanatokea sana
Mimi kwa upande wangu simpingi kumuona mkewake mzuri kuzidi wote kasababu kila mtu anajicho lake

rakini tukija kwenye mafanikio hapo kwenye b5 mavazi ml5 niliona kiki zitawaua hawa wasanii wetu
 
Kama ameMlinganisha huyo mkewe na Wema Sepetu!...bASI MJUE KUWA Bob jr ni wazi kabisaaa anamkubali mnooo WEMA! tena kwake wema ni mzuri sana kwa nini asiseme wengine mpaka amtaje wema?

ina maana yumo akilini mwake kila siku akitembea hivi na roho yake inauma!! Wema hongera sanaaaaa!! kwa kutajwa na Mastar weye kanyaturu ka watu ni mzuri bana!! wala usiwajibu wewe ni mzuri hasa!

Huyo Bob mbona nae mrembo ivo ke hawapendagi warembo!! wao ni mume jasho tu! jeusiiii.... mla ugali hasa akikamata tonge la bingale hee! kazi kazi! ni ili alikamate vizuri! sasa mme lainiii km demu???

Dume halembi kula yeye ni kumeza matongee tuu!! bila kutafuna! limnofu la mapande kama yale ya kapir point analikata mara mbili tu! maminofu ya kiti moto anayatafuna kama simba! nyamuunyamuuu!

dakika mbili ugali kwisha ....unaandaa mwingine faster!! na kwa ajili hiii anatafuta misosi sana nyumba yake haipungukiwi! misosi ndo wanawake wooote tunapenda hii! siyo ka mwanaume kama kagonjwa vile!

sasa huy akipigwa ngumi tu na mkewe kaumuka jamani mwee ke mna kazi sana!
 
Nakuelewa Bob kumsifia mkeo ila ulivyotawaja wengine na Bongo movie umekosea...subiri vita,lol, watu hata kama mkeo hana ubovu wowote watasema ana chongo..lol
 
Back
Top Bottom