Watu wanachafua tu wengine PZ alianza biashara zamani sana baada na kuajiliwa na watu kadhaa maeneo ya nyamongo 80's alianza biashara ya maduka mashine za kusaga na vinywaji enzi hizo, wakati akiendelea kuwekeza watu wengi pia miaka ya late 80's to ealy 90's kule Nyamongo walipata pia hela machimboni lkn hawakuinvest kwenye biashara endelevu alindelea kuinvest kwenye sector ya usafirishaji akiwa na isuzu injection pia katika sector ya uchimbaji madini, ufugaji na uuzaji wa vinywaji, kwa uwekezaji huo PZ amekuwa mtu imara katika kusimamia mtaji na biashara zake ambacho wengio huita udikteta, baadae akaendelea na kuimarisha uwekezaji wake kwenye usafirishari hadi kufikia hatua ya kuwashinda wapinzani wake wa mwz tarime wakati huo midimu, manko, trans africa na tanganyika nakumbuka and later bunda bus , hii ilitokana na mabasi imara yenye service , kuzuia kusimamisha abiria (level sit) na kuwahi kutokana na kupunguza vituo vya kusimama bila sbb , wkt baadha ya makampuni hapo madereva walisimama kila walipotaka na kupoteza muda wa abiria, kutokana na hivyo ameendelea kupata wateja kwenye gari zake na kujiimalisha katika sector hiyo, lakini pia amekuwa akifanya biashara zingine kwa muda mrefu so mafanikio yake alistahili kuyapata , lkn kuachana na majungu zakaria alipambana kutoka chini sanaana hadi kufika hapo na wengi wetu tukipata nafasi tujifunze kucapitalize kwenye nafasi hizo kama ambavyo amekuwa akifanya PZ , lkn pia kwa sasa PZ anajitahidi sana kusaidia watu mbalimbali wenye shida mbalimbali , simtetei lkn nasema ule ukweli kwa jinsi navyo mfahamu , nashauri tu watu tuache kuchafuana kwenye mitandao na kutumia huo muda kufanya kazi, hauwezi kufikia level ya PZ kwa kuandika tu watu vibaya kwenye mitandao.