Peter zacharia.... Who is he in and out?

Peter zacharia.... Who is he in and out?

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,434
Reaction score
17,862
ndugu na jamaa, habari za sasa?

naombeni kufahamishwa kwa kina historia ya huyu mtu..

mi kwa kifupi nimeanza kumsikia toka mwaka 1999 nikiwa mdogo sana maeneo ya kule nyamongo tarime!

naombeni mwenye biography yake atuelezee 'in and out', biashara zake zilianza vipi?

.. kuna vitu navisikia juu juu kuhusu mambo ya ajabu ajabu anayoyafanya katika biashara zake, naomba tufunuliane wadau!

naombeni tuwe huru!
 
Biashara unazijua huzitaji wala zilipo na jina la biashara zake maana mtu aweza kuwa na habari lakini hamjui mwenyewe!!!!!!!
 
luck star leta tu mabasi yako njia hii ila aliyebaki ni mbishi 1 tu BATCO wengine wote kawaondoa kwa mkono wake wa chuma
 
Hebu eleza kwanza hivyo vitu unavyovisikia juu juu tuvione,baada yapo unaweza kueleweshwa na ukaelewa.
 
Huyu jamaa miaka ile ya giza akiwa na basi moja tu liliharibika kabla ya kuwafikisha wasafiri sehemu husika..basi basi likashindikana kutengenezeka abiria kama kawaida wakagoma kushuka kwenye gari...muda si muda akaja huyu dikteta peter Akiwa na manati ya mzungu (bunduki) na ile fimbo ya kuswagia ng'ombe wakiwa wanalima Aliwatembezea kichapo wale Abiria wote wakashuka akavuta gari lake kwenda gereji....kwa Ugupi huyu jamaa ni Dikteta kama navyomuita mimi ila udikteta wake Karne hii hauna maana tena...
 
Kama ulivyosikia jamaa ni mfanyabiashara hasa ktk sector ya usafiri yaani mabasi!.maajabu ya jamaa ni inasemekana kuwa utajiti wake ni wa ''Ndagu or sacrifies'' alioupata baada ya kumua mama yake mzazi,pia inasemekana kila mwaka jamaa lazima atoe kafara moja wa madereva wake na kafara zingine kama kugonga watu hvyo mabarabarani.w2 wengi wa pande za mkoa wa mara husema kuwa kafara hizo ndizo zinasababisha utajiri wa jamaa kunawili siku hadi siku mfano mzuri wanautoa ni pale alipoleta mabasi mapya yanayozidi kumi ya youtong ndani ya mwaka moja.
Nami sina ushahidi ila nami nasikia tu!
 
PZ opportunist,kweli wabongo wengi huwa tunakuwa wagumu kumkubali mtu! Akiwa nyamongo alikuwa akifanya kazi za kawaida hadi alipoanza kupata mtaji na kufanya zake, baadae akaanza biashara za usafirishaji, hakuna basi iliyoondolewa trm-mwanza kwa ubabe, alichofanya ni kuboresha huduma zake na kujua matakwa ya wateja wake, mfano kupunguza vituo visivyo vya lazima, level sit, magari yenye service nzuri na hivyo minimum break down,tuache ujinga wa kusema ndagu nk tufanye kazi kwa kuiga waliyofanikiwa, sio kuharibia watu majina, kwa mazingira alioanzia kazi ilikuwa lazima kuadopt ubabe ili mambo yake yaendelee, baada ya watu kuelewa principle zake the man is so polite! Congrants MT PETRO the legend
 
Huyu jamaa miaka ile
ya giza akiwa na basi moja tu liliharibika kabla ya kuwafikisha wasafiri
sehemu husika..basi basi likashindikana kutengenezeka abiria kama
kawaida wakagoma kushuka kwenye gari...muda si muda akaja huyu dikteta
peter Akiwa na manati ya mzungu (bunduki) na ile fimbo ya kuswagia
ng'ombe wakiwa wanalima Aliwatembezea kichapo wale Abiria wote wakashuka
akavuta gari lake kwenda gereji....kwa Ugupi huyu jamaa ni Dikteta kama
navyomuita mimi ila udikteta wake Karne hii hauna maana tena...

ulikuwepo?
 
Huyu jamaa katelekeza familia yake nyamongo huko, mama frank na wanae
 
Mi mwenyewe nasikia kama unavyosikia mkuu
 
Ni kweli PZ ni opportunist, aliboresha huduma ya usafiri , hata ilipobidi kudrive mwenyewe hadi watu wake walipoelewa principle zake, mambo mengine ya ndg na family ni mambo binafsi lkn kibiashara Peter ni mfano wa kuigwa, congrants Petro roll model wa vijana wengi wenye malengo ya mafanikio Tarime
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom