Mkuu ,MBUZI MZEE unanikosha sana kwa picha napenda sana raggea roots,pia nina swali siku ukistafuu kutuwekea mipicha hapa huu ujuzi utamrithisha nani?
Safi sana, kuna kitu huwa nashindwa kumwelewa Tosh,,ktk baadhi ya nyimbo zake ka appear jukwaani akiwa amevaa joho (haya yanayotumiwa na wachungaji/padre) na kuna zingine kavaa kiiislam hivi (ki yasser arafat) maana yake ilikuwa nn? anapovaa mavazi ya "kidini" kuchezea muziki jukwaani was it some sort of kebehi kwa dini hizo?