and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,379
- 40,001
Peter Msechu na bendi yake wamealikwa msibani huko Zimbabwe. Tuzidi kuwaombea.
Best wake sanaWow! Appearance ya Msechu inafanana na Chivayo.
Akirudi ni direct kule majiniPeter Msechu na bendi yake wamealikwa msibani huko Zimbabwe. Tuzidi kuwaombea.
Better kuliko uchawa na ukunguniNdio biashara aliyo ichagua na inamuweka mjini na piss zake mkuu....
Kuna jamaa yangu mmoja anafanya kazi mortuary/mochwari, mpunga anaupata naona piss zinamgombania balaa...🤣
Jamaa anachofanya n kubadili majina tuu, uzuri wa nyimbo za msiba n kusifia tuuUzuri ni kwamba Peter Msechu anakuwa ameshaandaa kabisa nyimbo kabla msiba haujatokea.
Basi mtu akifua yeye anachofanya ni kuweka tu jina la huyo mwendazake.
Sina shaka na Peter, natumai pafomansi yake itabamba.
Harare ni kuzuri nilipita tena miezi miwili iliyopita pale pako vizuri sana..Peter Msechu karibu Harare
Jamaa ni mjanja sana. Watu wanasema jamaa anauwezo wa kuandika nyimbo haraka, kumbe kashaandika kitambo sana.Jamaa anachofanya n kubadili majina tuu, uzuri wa nyimbo za msiba n kusifia tuu
Ila ngoma la msiba la Samuya itakuwa bonge moja la pin kweny carrier yake ya mziki tangu anazaliwa. 🔥Jamaa ni mjanja sana. Watu wanasema jamaa anauwezo wa kuandika nyimbo haraka, kumbe kashaandika kitambo sana.
We acha tu! Jamaa alinisikilizisha ile ngoma hadi nikanyoosha mikono juu. Ni ngoma kali mno.Ila ngoma la msiba la Samuya itakuwa bonge moja la pin kweny carrier yake ya mziki tangu anazaliwa. 🔥