Peter Tosh Official

Peter Tosh Official

Safi sana, kuna kitu huwa nashindwa kumwelewa Tosh,,ktk baadhi ya nyimbo zake ka appear jukwaani akiwa amevaa joho (haya yanayotumiwa na wachungaji/padre) na kuna zingine kavaa kiiislam hivi (ki yasser arafat) maana yake ilikuwa nn? anapovaa mavazi ya "kidini" kuchezea muziki jukwaani was it some sort of kebehi kwa dini hizo? Mbuzi mzee any idea on this? Otherwise namkubali tosh message zake hasa ktk wimbo wake Burial,Equal rights,bumbo klaaart nk nk

He was a man with a guitar. Peter was a revolutionary through his music. Yale mavazi alikuwa ana present other revolutionaries kama Arafat. Check Wimbo wa Come in hot. Hakumaanisha kukas
 
Back
Top Bottom