Peter (RIP) kaondoka kishujaa

hakuna anae jua full story ya huyo dogo hapo, maana hata sielewi.
chanzo cha kifo chake ni nini
 
Ameondoka kishujaa, ametoka kanisan kuimba akaenda IDM kwenye kikao cha viongoz wa kwaya, baada ya kikao wakaenda Kilimahewa kupiga picha za mwaka mpya,,, moja ya picha alipenda apige akiwa anapiga push up,, akapiga ya kwanza, ya pili hadi ya nne akaanguka hapo hapo na kuaga dunia


Push up alizopiga Peter hadi wakati wa mwisho wa maisha Yake... hapo wakati anaamka ndio alirudi chini. anaondokaView attachment 984617

Jr
IDM is no more, if you are talking about Mzumbe College University

Nadhani hapo ndio msemo wa siku yake ilifika unapotumika

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom