Peter (RIP) kaondoka kishujaa

Peter (RIP) kaondoka kishujaa

IDM ipi jamani? Fikisha ujumbe vzr basi mkuu. Ni wahenga tu wanaijua hiyo IDM
.
IMG_20190103_115856.jpeg


Jr[emoji769]
 
Yaani mshkaji kapiga pushups kafariki unasema kaondoka kishujaa... Na huyu mh rais wetu amepiga nyingi tu na ka survive si inabidi useme anaishi kishujaa...
 
Back
Top Bottom