Peter Mutharika atangazwa mshindi Uchaguzi Mkuu Malawi

Peter Mutharika atangazwa mshindi Uchaguzi Mkuu Malawi

Big up malawi kwa kujielewa... tunaomba muwaombee watanzania pepo wa ccm awatoke kichwani
 
Wamalawi ni interesting zaidi, Bi mkubwa alikalia kiti cha watu baada ya Bingu kuvuta sasa wamerudisha kiti chao na aliyekuwa mpinzani alibeba ndoo baada ya presidaa kuvuta na kuwa chama tawala sasa uchaguzi umewarudishia wenye ndoo ushindi wao na wanaendelea tu kuwa tawala.

Yule jamaa aliyeanzisha uzi humu akisema "Uchaguzi wa Afrika Kusini ni funzo tosha kwa CDM", nilitegemea angeendelea kutujuza na huu wa Malawi ukiachilia mbali ule wa India ni funzo tosha kwa nani?
 
Tume ya Uchaguzi, mahakama na ofisi ya Mwanasheria wa Serikali inchini Malawi ni funzo tosha kwa hapa Tanzania, wao wako makini na sheria si kupitindisha sheria.

Funzo kwa nani? Thubuti, hukumbuki ya 1995, Pale Shariff Hamad aliposhinda kiti cha Urais wa SMZ, lakini JK Nyerere akamuita M/Kiti wa ZEC na kumuamuru abadilishe matokeo na kumtangaza ALIYESHINDWA Komandoo Dr. Salimin Amour kuwa MSHINDI and the rest is history, kwa sababu ZEC ni ALPHA NA OMEGA maamuzi yao hayawezi kuhojiwa na chombo chochote kile DUNIANI na hata MBINGUNI. At least Wamalawai wanaweza kuihoji tume yao ya uchaguzi mahakamani, ndio maana Joyce Banda baada ya kuona ameshindwa alikimbilia mahakamani.
 
Tume ya Uchaguzi, mahakama na ofisi ya Mwanasheria wa Serikali inchini Malawi ni funzo tosha kwa hapa Tanzania, wao wako makini na sheria si kupitindisha sheria.
Je, Unazifahamu siasa za Malawi mpaka unaanza kuzilinganisha na siasa na utawala nchini.

Unawafahamu movers and shakers wa Malawi au ndiyo yale yale ya bendera fuata upepo?.

Fanya kwanza homework ndiyo upate uwanja mpana wa fikra katika kujenga hoja kuhusu siasa na utawala wa Malawi.
 
Funzo kwa nani? Thubuti, hukumbuki ya 1995, Pale Shariff Hamad aliposhinda kiti cha Urais wa SMZ, lakini JK Nyerere akamuita M/Kiti wa ZEC na kumuamuru abadilishe matokeo na kumtangaza ALIYESHINDWA Komandoo Dr. Salimin Amour kuwa MSHINDI and the rest is history, kwa sababu ZEC ni ALPHA NA OMEGA maamuzi yao hayawezi kuhojiwa na chombo chochote kile DUNIANI na hata MBINGUNI. At least Wamalawai wanaweza kuihoji tume yao ya uchaguzi mahakamani, ndio maana Joyce Banda baada ya kuona ameshindwa alikimbilia mahakamani.

Umesema mwaka 1995, hata Malawi yaliyotokea miaka hiyo tofauti na yaliyotokea leo. Vyama vya upinzani vinapoungana ujue mawingu yanatanda tayari kunyesha mvua.
 
Mbona hapa hamsemi ni madaraka ya kupeana coz ni ukoo huo huo'
 
Hongera watu wa Malawi kwa kuamua mnachokitaka.!!
 
Mbona hapa hamsemi ni madaraka ya kupeana coz ni ukoo huo huo'

Hapa karibu wote waliogombea ni kutoka koo zile zile, hii inatokana na Malawi kuba bado katika hali ya nchini kimaendelea na umaskini, hadi watoke huko ndipo watafunguka zaidi. Hata hivi wako juu zaidi kulio Tanzania kwa kufuata sheria.
 
_75215321_3aedbb84-3c5f-42a6-a6e9-4155805a630e.jpg

Opposition candidate Peter Mutharika has been declared the winner of Malawi's disputed presidential election.
The leader of the Democratic Progressive Party obtained 36.4% of the vote, the electoral commission announced.
A protester died earlier after police dispersed an angry crowd demanding a recount of last week's ballot.
Outgoing president Joyce Banda has alleged the vote was rigged.

'Law is clear'
The Malawi Electoral Commission (MEC) had asked for a 30-day extension to declare the results so that a recount could be carried out.
However, the High Court refused to delay the release of results and ordered the commission to make its announcement on Friday.
"The law is clear, there is no extension," judge Kenyatta Nyirenda said.
Mr Mutharika is the brother of the late President Bingu wa Mutharika, and had served as his foreign minister.

Former preacher Lazarus Chakwera came second with 27.8% of the vote. He represented the Malawi Congress Party, which governed from independence in 1964 until the first multi-party poll in 1994.
Mrs Banda, who came to power after the death of Bingu wa Mutharika two years ago, was third with 20.2% of the vote.
Her administration had been hit by a corruption scandal dubbed "cashgate", which led donors to cut aid.
Malawi is one the poorest nations in the world and is heavily dependent on aid, which provides 40% of the country's budget.

'Frustrated voters'

About 7.5 million people were eligible to vote in the elections, which was described as Malawi's closest-fought poll in 20 years.
The election was chaotic, with many polling stations opening up hours late and frustrated voters setting one polling station alight.
The electoral commission said that in 58 of more than 4,000 polling centres the official number of votes cast was more than that of registered voters.
Last week, Mrs Banda accused a party, which she did not name, of infiltrating and hacking the electronic system that transmits the results to the MEC's headquarters.
The MEC's chairman denied that its system had been hacked.

Hongera kwa Peter Mutharika,aidha pongezi kwa tume ya uchaguzi ya Malawi na mahakama kuu kwa kusimamia sheria bila woga wowote. Nchi zingine ikiwemo Tz yetu tunawezajifunza kuanzia hapo.
 
Je, Unazifahamu siasa za Malawi mpaka unaanza kuzilinganisha na siasa na utawala nchini.

Unawafahamu movers and shakers wa Malawi au ndiyo yale yale ya bendera fuata upepo?.

Fanya kwanza homework ndiyo upate uwanja mpana wa fikra katika kujenga hoja kuhusu siasa na utawala wa Malawi.

Jambo la msingi sakata la uchaguzi Mkuu umetoa taswira ya kuongea ninayojadili. Vyombo vya usalama, mahakama, mwanashria wa serikali na tume ya uchaguzi.
 
Hivi huyu Mutarika dogo,si nasikia ni tumbo moja na yule aliyetangulia mbele za haki?

Kama ndivyo basi huyu mama anatakiwa aanze kujifunza matumizi ya ndoo pindi aingiapo jela,Nina hakika jamaa hatamwacha salama ukizingatia namna alivyo wasumbua tangu kifo cha kaka yake mpaka kugoma kuyatambua matokeo ya uchaguzi baada ya kugundua ameshindwa.

Mack my words.

BACK TANGANYIKA
 
Inaelekea unayajua madudu hayo, ndio maana huyu Joyce Banda amepata kiwewe na alitaka kufuta matokea na kurudia uchaguzi kwa kuogopa kivuli cha Muthalika Peter.
 
Hili ni somo zuri kwa serikali dhalimu ya ccm kuwa muda ukifika hata ufanyeje lazima ufe

Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya Malawi na Tanzania kiuchumi, kiutamaduni na haswa kisiasa. Usichukulie tu kwa ajili ni Africa basi ukalinganisha moja kwa moja.
 
Halafu hii alama anayo ionyesha huyu jamaa(mutarika) siyo alama ile......ile....ileeeee...... nasikia ilisababisha kifo cha msanii wetu nguli au ni vidore tu vimepinda oooh maybe nimeangalia vibaya.

BACK TANGANYIKA
 
Inaelekea unayajua madudu hayo, ndio maana huyu Joyce Banda amepata kiwewe na alitaka kufuta matokea na kurudia uchaguzi kwa kuogopa kivuli cha Muthalika Peter.

Oooh mkuu yanafahamika madudu from far eastern countries yashindikane ya hapa jirani ambapo huyu mama akipiga chafya waliopo Kyera,Chunya na hata hapa Tdm tunamsikia sawasawa. Niku-Google tu kila kitu hadharani.

BACK TANGANYIKA
 
Hivi huyu yeye ana sera gani kuhusu ziwa Nyasa?
 
Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya Malawi na Tanzania kiuchumi, kiutamaduni na haswa kisiasa. Usichukulie tu kwa ajili ni Africa basi ukalinganisha moja kwa moja.
Naona dawa imekuingia subiri sasa hivi itaingizwa polepole
 
Back
Top Bottom