GE2025 Peter Msigwa apenya Iringa Mjini

GE2025 Peter Msigwa apenya Iringa Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
..lazima mtu wa Chadema apenye kwa tiketi ya Ccm. Je, ni nani huyo?

..hivi Asas anagombea Iringa Mjini?
Asas hagombei ila tukiwa naye O level pale The Highlights Mchungaji Msigwa aka Wagada ndio alikuwa anatuuzia Cadet za shule 😄✔️
 
We baki na ujinga wako........mwenzio watoto wapo Marekani wanasoma, mke ubelgiji kwenye apartment iliyotokana na tone tone
Lazima roho ikuume uko mburahati ndani ndani huko na jezi lako kijani kwanini usiwashwewashe kwa wivu
 
Back
Top Bottom