Peter Kupaza, Mtanzania aliemuua dada yake nchini Marekani


Binadamu wana roho ngumu sana. Ni kama huyu tu:

 
Nilicho kiona ni jinsi polisi wa nchi zingine wanavyo fanya kazi ukilinganisha na polisi wetu wa f4f.
 
Hamna kesi hapo huyo mama aliyempeleka jamaa iko siku atakiri aliyofanya.
Jamaa kabebwa kama gunia kupelekwa huko kwa mapenzi kafika kajiona kidume, unajua tena hawa watoto wa kitanga
Kapiga fix Kupaza huyu binamu yangu tumtaftie viza.
Mwanamke kwa mapenzi kakubali.
Mwivano(Iringa hiyo) anakuja .
Jamaa akawa anapiga show kotekote mama analipia kila kitu.
Na watu wako humo humo ndani.
Huyo maza ndiyo mfanyakazi na financer.
Mwivano kaletwa kama housegirl kafikia hatua kuendelezwa mpaka chuo kwa hela ya huyo maza.
Mara Mimba paap,jamaa kamuhamisha mwivano kutema soo.
Huku anaendelea kula mzigo huyo mama anawasoma tu.
Wakatoa mimba mama anawasoma tu.
Sasa conclusion,huyo mama anajua kila kitu na sheria anazijua vizuri tu na michezo yote ya kimafia anaijua.
Huyu kula kulala maneno mengi usidanganye watu wenye shule zao.
Huyo maza mnamuita mzungu labda hata ni mmexico ndio kingpin kamuingiza chaka mshkaji kijinga tu.
Sahizi anakula mvua za kutosha na demu wake kauliwa kinyama na huyo maza utakuta kalamba ngoma dume mpya toka hukohuko kwao na kupaza.
 
usiamini kila kilichosemwa
 
Mkuu pisi kali hata kwa dada "toka nitoke"?
Huo ni mmomonyoko wa maadili na roho ya kishetani tu!

Mkuu usicomplicate sana sababu sisi wote ni ndugu,jiulize kama Adam na Hawa waliumbwa wawili tu je waliijazaje dunia kama sisi sote sio ndugu?
 
Mkuu usicomplicate sana sababu sisi wote ni ndugu,jiulize kama Adam na Hawa waliumbwa wawili tu je waliijazaje dunia kama sisi sote sio ndugu?
Sicomplicate kuhusu mapenzi ya hiyari kwa wana ndugu kama walikubaliana kwa sababu wote walikuwa over 18, kinachonisikitisha sana ni namna ya hayo mauwaji na jinsi yalivyotekelezwa.

Lakini simulizi ni kama alimbaka huyo dadake, akampachika mimba, kumfosi kuitoa kisha akaamua ammalize kabisa.
 
Inawezekana sababu ilikuwa wivu wa mapenzi?

Kupaza kaoa mzungu, akamuita binamu wake inawezekana walikuwa wapenzi>> au kama wanavyosema alimbaka na kumpa mimba?

Mke wake mzungu alipogundua wakachana ,

Mke akafikiri namna ya kulipa kisasi...

Akaamua kumtuma mtu afanye kazi ya kumuua binamu yake peter>> yule mzungu aliyekutwa mtoni akishanga shangaa kisha kumwambia yule mama shahidi apige simu polisi, kisha yeye akapanda gari yake na kuonfoka kabla polisi hawajajaj ni lazima na yeye anahusika...

Na alimwambia apigr simu ili kuhakikisha polisi wanaupta mwili ili waweze kumbamikia jamaa kesi maana bila wao kufanya hivyo pengine ingechukuwa muda mwili kupataikana na uchunguzi kufanyika ...
 
Ukiwa mwafrika au black mbele ya mzungu huchomoki asee!
Kupaza ndo kashapoteza hivo!
Aah wazungu wajanja sana sana
Nikikueleza hilo tukio la cousin wangu utachoka ni kama movie hivi
Witness acha kuwapa watu homa.

Tupe hiyo story tujiridhishe wenyewe kama kweli jamaa atachoka!.
 

Mambo mengi kwenye hii movie yanafikirisha sana, ni vile mara nyingi kesi za black to white people huwa zinakuwa na nguvu dhidi ya upande wao.

Na yawezekana hata yule mama aliyekuwa picnic naye ni wa kuchonga tu, maana hao mabeberu siyo watu hata kidogo kwa mtu mweusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…