Pesa ndio kila kitu au kuna mengine zaidi ya pesa kwenye mapenzi

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Yani kuna kajamaa haka sikajui jina ila kana mwanamke ambaye kama ukiwa naye tanzania kwa umbo lake unaweza kufa kwa presha.maana pesa itamchukua haraka kwa njia yoyote.

Jamani mimi nashindwa kuelewa ni pesa au kingine kilicho mfanya huyu mwanamke

IMG_0172.jpg
 
yani kuna kajamaa haka sikajui jina ila kana mwanamke ambaye kama ukiwa naye tanzania kwa umbo lake unaweza kufa kwa presha.maana pesa itamchukua haraka kwa njia yoyote.

jamani mimi nashindwa kuelewa ni pesa au kingine kilicho mfanya huyu mwanamkeView attachment 1918302
Huyu dada anataka Kiki tu Wala sio pesa wanaimba wote mziki wakiwa na hyu mwanaume anapata Kiki Sana.
 
Yani kuna kajamaa haka sikajui jina ila kana mwanamke ambaye kama ukiwa naye tanzania kwa umbo lake unaweza kufa kwa presha.maana pesa itamchukua haraka kwa njia yoyote.

Jamani mimi nashindwa kuelewa ni pesa au kingine kilicho mfanya huyu mwanamke

Apo mzigo anapiga vip mkuu au anaingia mzima mzima uko🤔
 
Back
Top Bottom