Pesa mpya jamani vituko

LUMBAKALA

Senior Member
Dec 29, 2010
148
20
Mimi niseme sijui ni mshamba ama macho yangu yameona vibayaa.Jamani pesa mpya sijui wanajamii forum mnazionajee?pesa ni nyepesi sidhani kama zitamudu life la bongo,ndo maana nikasema mi sijui ni mshamba ama sijaona vizuri naomba maoni yenu
 
na fake zake tayari zpo ktk mzunguko wakati hizo halisi kuna watz hawajawahi kuziona!!
 
loooh....hii ni tz zaidi ya uijuavyo kila kitu kinawezekana,wapi benno ndulu?
 
loooh....hii ni tz zaidi ya uijuavyo kila kitu kinawezekana,wapi benno ndulu?

Ndulu yuko Arusha kununua viwanja mambo ya bongo yamemshinda afadhali arudi huko maskani yake U.S. akale vijisenti alivyoficha huko!! Alichapa noti ili nae saini yake ionekane kwenye hela zetu; hakukuwa na sababu ya kuchapisha noti mpya kwani kama sababu ni kuzuia counterfeit noti mbona zimeisha zagaa mtaani kwetu! Jamaa kazi imemshinda.
 
jamani tupige magoti tuombe mana naona kama nchi nzima tumechanganyikiwa...umeme shida...hela mpya shida...ajira shida...kufaulu form iv 2010 shida...rahic wetu shida...hata kula imekuwa shida...nahisi huku mbele shda zitakuwa nyingi,raha tupate wapi jamani kama si ktk JAMII FORUM
 
......Pesa zenyewe pia zinatoa rangi..zikipata jasho au ukisugua kwenye karatasi...jaribu hasa elfu 10,000 na 5,000
 
Hii nchi turudi utumwani mazungu yatutawale kama zamani manake tumeshindwa kabisa kujitawala!
 
......Pesa zenyewe pia zinatoa rangi..zikipata jasho au ukisugua kwenye karatasi...jaribu hasa elfu 10,000 na 5,000

kweli zinatoa rangi kwani nilifanya utafiti mdogo kwa kuikunja elfu kumi kwenye karatasi nyeupi na baada ya dk 30 nkatoa karatas ikabaki na rangi ya noti husika! Nawashauri wavaa nguo nyeupe mtumie pochi vinginevo ni balaa.
 
Mimi niseme sijui ni mshamba ama macho yangu yameona vibayaa.Jamani pesa mpya sijui wanajamii forum mnazionajee?pesa ni nyepesi sidhani kama zitamudu life la bongo,ndo maana nikasema mi sijui ni mshamba ama sijaona vizuri naomba maoni yenu

Wamezichakachua na kuoverstate gharama za kuzitengeneza na baada ya miaka michache zitakuwa hazifai kabisa kuendelea kutumika hivyo itabidi kutengeneza noti mpya na wao kuendelea na ulaji wao.
 
Mi nikizishika najiona kama niko kwa Mugabe ah.........................kusema ukweli mie hata sijazipenda na hayo marangi yanavyochuja
 
na fake zake tayari zpo ktk mzunguko wakati hizo halisi kuna watz hawajawahi kuziona!!

Inkoskaz, mimi ni interested party kwenye hizi noti mpya. Kwa jinsi nilivyo zisikia security features zake, siamini kama kweli fake zimeshatoka.
 
Hapo tumeishaliwa ndugu zangu.... Wamechapa pesa kwa gharama ndogo ili kukidhi matakwa yao.... Athari zake ni kwa mlala hoi wa mwisho anaeuza nyanya Kariakoo au Mwananyamala Magengeni... Subiria baada ya miaka miwili uone. HII NI HATARI SANA NDUGU ZANGU:
 
Back
Top Bottom