mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 9,872
- 13,233
Kudadeki utakuta mda huo amevaa taulo,vest na kitambi kimetokeza kama mpoki.Pesa kidogo tu ukijenga kamsingi au kanyumba kila ukiamuka asubuhi na mswaki wako unaanza kukakagua,utazan umejenga flyover







