Pesa kidogo umetukataa the BluesPesa kidogo umeanza kuogea shower gel
Pesa kidogo umetukataa the Blues
Pesa kidogo tu umeenda kuishi nje ya mji ukijidai hutaki kelele za uswahilini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa kidogo hazinizuii kukumbusha leo tuna Sevila darajaniHaha hapana jamani
Hapana watu wengi wakichangia mijadala utawasikia..sera hazigusi wanyonge...




eti sera hazigusi wanyonge halafu unakuta yeye mwenyewe anajitoaPesa kidogo tu ushakuwa motivational speaker kwa kila biashara.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app



Hii ndio imezagaa sana,utawasikia"Tatizo vijana hawajitumi wanafikiri sisi tuliofanikiwa tumepata kiurahisi tu kumbe tulikuwa hatulali tunafocus kwenye future plans ndio ikaleta results"Pesa kidogo tu umeenda kuishi nje ya mji ukijidai hutaki kelele za uswahilini.
Sent using Jamii Forums mobile app




Hii itatugusa wengi sanaHii ndio siipendagi sana huwa wanafanya masista duu na makakaduu hadi huwa natamani niwatukane.
hii ya supu ndio inanichekeshaga sana,utamkuta mtu kaamka na buku jero halafu anafosi kwenda kula supu ili mradi tu aonekane ameendelea,akitoka hapo anashika tooth pick kuchokonoa meno.Pesa kidogo tu asubuhi unagoma kunywa chai unataka supu,haijalishi upo wapi,*****