Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Pesa kidogo umeshaanza kusema jiwe kafanya makubwaPesa kidogo unaambia watu kuwa utawaingiza barabarani
Pesa kidogo umeshaanza kusema jiwe kafanya makubwaPesa kidogo unaambia watu kuwa utawaingiza barabarani
Hahahahiyo Njombe ndanindani naona umekusudia kunichokoa
Pesa kidogo tuu, unaona kuangalia muvi zenye subtitles ni ushamba
Ukweli mtupu.Haha wewe huyo
Pesa kidogo umeanza kuogea shower gelPesa kidogo umetupa mche wa magadi ulionunua gerezani sasa unaogea dettol
pesa kidogo tu, unatuambia tuache kufata mikumbo.Ndio nini sasa..
Watanzania muache kufuata mikumbo!