Mwambawetu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,425
- 34,419
Pesa kidogo tu waliokupigia kura unawaita wanyonge
Haha babe jamaniPesa kidogo tu umeanza kukimbia asubuhi.
Pesa kidogo tu Kigoma unaita KGTInaonyesha unazo pesa wewe, maana pesa kidogo tu ndala unaziita kandambili
eti wanakusumbua..😂Pesa kidogo umeanza kutopokea simu
Numby kupiga mswaki ni pesa au usafi
Pesa kidogo tu unaanza kusema watanzania muache mikumboNdio nini sasa..
Watanzania muache kufuata mikumbo!
Pesa kidogo tu unaanza kuweka miguu mezani


hii komenti nimemsomea jirani yangu hapa ameweka miguu mezani