The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,091
- 102,587
Pesa kidogo tu eti unasema Maharage sio mboga ni mbegu.
We jamaa mjinga sana aiseeee! nimecheka sana!Pesa kidogo tu ukijenga kamsingi au kanyumba kila ukiamuka asubuhi na mswaki wako unaanza kukakagua,utazan umejenga flyover
Pesa kidogo tu ukijenga kamsingi au kanyumba kila ukiamuka asubuhi na mswaki wako unaanza kukakagua,utazan umejenga flyover




ma.nina...Mlimani cityshopping unafanyia wapi?
P.S wa jukwaa hili ni nani?Pesa kidogo tuu umeng'oa jukwaa pendwa.![]()
Pesa kidogo tu umeanza kutununishia wanaume kifuaHujalazimishwa kuchangia hii mada.
Pambana na hali yako
This is mePesa kidogo tu ukijenga kamsingi au kanyumba kila ukiamuka asubuhi na mswaki wako unaanza kukakagua,utazan umejenga flyover
Pesa kidogo tu mama unaanza kumuita mamushka Hadi mamako anaanza kuhisi wewe sio mwanae



Pesa kidogo tu unataka kuwapanda mods vichwaniMbona wanafanya tusiyo waagiza kufanya.?
Pesa kidogo ushaanza kujiita boss lady.pesa kidogo ushaanza kumuita baba ako mshua
😂😂😂😂😂huu utani unaofanana na ukweliPesa kidogo ushaanza kujiita boss lady.