Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,979
- 2,494
Nitapigwa ban la maisha.nimtag?

Nitapigwa ban la maisha.nimtag?

Hivi hili jukwaa halipo tena?Pesa kidogo tuu umeng'oa jukwaa pendwa.![]()
Chaa!Khantwe umeona post namba moja kule mwanzo kabisa nini kimetokea.??











AhahahahahqPesa kidogo umeanza kucheka mara nne tu, Hah-hah-hah-hah then over!
Aisee! Nimecheka sana duh!!Umepata pesa kidogo tu umeanza kulala na pajama![]()
Halafu mbaya zaidi post namba 1 wameifuta yoteChaa!
Wamekuzawadia Uzi wa Khantwe Jamani![]()
Hahaha jamaniPesa kidogo tu umeanza kujifuta jasho la usoni kwa kugusa gusa tu na kakitambaa kako!
Yaani nimecheka SanaHalafu mbaya zaidi post namba 1 wameifuta yote






Haha wewe huyoPesa kidogo unaanza kujiita Gentleman