Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Ukija kushituka tu ameshakufikisha Mombasa! We sinziaga tu!!
anirudishe na kunirudisha kabisa.....,
Ukija kushituka tu ameshakufikisha Mombasa! We sinziaga tu!!
Sasa huyo mbabu hapo anaonekana choka mbaya..Pesa anazo huyu!? Halafu anafanana na Bishanga
Hujui pesa wewe....una miaka mingapi vile!??
Hakuna cha pesa wala nini, huyo mzee anajituma sana kwenye ile kazi. Vijana wa siku hizi useless kabisa! lol
una bahati mzabzab ameamua kuoa siku hizi!!
una bahati mzabzab ameamua kuoa siku hizi!!
Hahaha jf kubwa la maadui
Hakuna cha pesa wala nini, huyo mzee anajituma sana kwenye ile kazi. Vijana wa siku hizi useless kabisa! lol
pesa ikoje.....,
nipo 20's
Wanaume siku hizi majanga tu, unaona mtu ana msuli unafikiri labda leo nitatafunwa mpaka niondoke kwa kutambaa ukifika kule ka moja tena kwa kutafuta!!. Mwangalie huyo mzee kwanza alivyostrong. Siku hizi hatuangalii hela tunaangalia shughuli kama inaenda!!!
siku hizi pesa ndo kila kitu
but I cant imagine my self kissing this babu
sijui nanilino yake mle ndani iko ktk hali gani
yataka moyo....,