Pesa katika mapenzi (PICHA)

MENGI.jpg

Unabahati JF ipo nje ya IPP Media..:rant::rant:
 
Nilifikiri miye mshamba wa buzebazeba tu ndio sijaona.
Mtu anaweza argue kuhusu kimini hicho, lkn kwa nchi nyingine za Africa (maana sidhani ni bongo hapo) hiyo nguo iko okay tu.
A photo can say a thousands words

mimi sijaona pesa imeingia wapi hapa
huyu binti anaweza kuwa mjomba wake
au jirani yake
au hata gardener wao
sioni ishu ya pesa imekujaje hapa
 
Mtaka cha uvunguni shurti ainame hapo dada anataka hela na babu anataka lake hapo chacha. sasa sijui pia kutakua na kiss au maliza haraka nimechoka lol. Chezea pesa wewe

hahaa tenaa inabidi uiname haswa maana hiko kitu kiko uvunguni kwa ndani kabisa.....,
 
A photo can say a thousands words

mimi sijaona pesa imeingia wapi hapa
huyu binti anaweza kuwa mjomba wake
au jirani yake
au hata gardener wao
sioni ishu ya pesa imekujaje hapa

Kweli mkuu The Boss mbona hakuna jambo lolote la pesa wala mapenzi hapo?? Au ni linaliojaza moyo wa mtu ndo humtoka nini??
 
Halafu siku hizi vijana wanavyopenda wazee, we acha tu.

Sijui ni kwaajili wazee kama hao wanapigaga goli moja halafu chali?


Hilo ndilo jibu. Wenyewe wanasema eti kazi kidogo, mshahara mkubwa tofauti na akimpata kijana mwenzie kazi kubwa mshahara kidogo kama si kukopwa kabisa.
 
Nilifikiri miye mshamba wa buzebazeba tu ndio sijaona.
Mtu anaweza argue kuhusu kimini hicho, lkn kwa nchi nyingine za Africa (maana sidhani ni bongo hapo) hiyo nguo iko okay tu.


hiki kimini unacho au niagize haraka from South Africa?
 
huyo ni babu mmoja wako ni mjukuu wake ila wazoeana vibaya mno, babu anampenda sana mjukuu wake na anamhudumia vizuri tu
 
siku hizi pesa ndo kila kitu
but I cant imagine my self kissing this babu
sijui nanilino yake mle ndani iko ktk hali gani

yataka moyo....,

With his money, you would find yourself giving him a blowjob! Hapo imeshahakikishiwa urithi wa apartments Upanga! Tehehehhehe!
 
duhh ntameza vidonge nya usingizi namwachia tu aendelee
nikishtuka ameshamaliza

Ukifanya hivyo nakuhakikishia hutafaidi matunda wala kula mema ya nchi....! Maaana atakuacha na kwenda kutafuta anayeweza kupiga libeneke kitandani.....Kwa kakwambia anataka kuona hicho kimini? Anataka kula vilivyomo!
 
mademu wengi wa siku hizi hawawezi mziki mnene, wengi ni wavivu, nina ushahidi na hili, wanaogopa magoli mengi, hivyo kwa vibabu naona wanachukua kiulaini

Na huyu anaogopa nini?
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    16 KB · Views: 126
  • image.jpg
    image.jpg
    13.8 KB · Views: 115

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom