Perfume maalum kwa usiku

Wamehongwa kuja kutudhihaki na kutafuta soko kwa bidhaa zao feki. Kizuri huwa kinajiuza mbona midomo mingi?
 
Sema tumetofautiana.. tumezoea za buku 6 kushuka chini wengine hyo ni bajeti ya mwezi na zingine nawatumia wazazi.
Labda hivyo... Kwa perfume za majina hiyo ni hela mbuzi....
 
Aaaah ismyak ya buku 4.5 na inawapopoa kitaaa,Kali nzur balaa
 
Kutoa si utajiri. Mtu anaweza kuwa tajiri na si mtoaji, mwingine wa kawaida tu anasaidia wengi sana.

Vitu vingine si utajiri ni passion na exposure. Kuna watu wanapenda manukato na wako tayari kununua kwa bei yoyote kama wanaweza.

Wewe unaweza kumshangaa mtu anaenunua perfume 400,000 ila unanunua gari la 40m na yeye anakushsngaa kwa nini usinunue Vits ya 5m au utembee kwa miguu hizo 40m ununulie madawati au usomeshe watoto kijijini kwenu.
 
Kuna uhusinao kati ya kua nacho na kutoa.
Sasa kama huna utatoa nini?
Misemo mingine ipo tu, eti kutoa ni moyo sio utajiri, huu msemo upo kuwafariji maskini na asilimia kubwa ya matajiri wana roho ngumu sana hasa linapokuja suala la kutoa ili kuchangia jambo la maana.
Ila wakiskia kuchangia harusi wako fasta.
 
Sijataja masikini hapo. Nimesema mtu wa kawaida, kama kwako wewe wa kawaida ni masikini thats not my problem.

Ila mimi nishaona watu wa kawaida wengi wanajitolea kuliko matajiri.
 
Sijataja masikini hapo. Nimesema mtu wa kawaida, kama kwako wewe wa kawaida ni masikini thats not my problem.

Ila mimi nishaona watu wa kawaida wengi wanajitolea kuliko matajiri.
Karibu kwenye Uzi umeanzishwa kuhusu maneno aliyotoa Nape Nnauye kuhusiana na mihadarati
Njoo uutazame kwanza[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…