Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,348
- 5,977
Hiyo hapo ndio humtoa nyoka pangoni!!jamani msaaada za wanawake zinazomtoa nyoka pangoni ni zipi
Hiyo hapo ndio humtoa nyoka pangoni!!jamani msaaada za wanawake zinazomtoa nyoka pangoni ni zipi
Sekta gani mzee wa Sicilly. . . .
Unapenda bidhaa za Michael Kors?
Ukweli kwamba yeye ni shoga haikusumbui wewe?
Au maisha yake binafsi ni yake binafsi na hayana uhusiano wowote ule na bidhaa zake?
Manake Watanzania kwa unafiki nadhani tunaweza tukawa tunaongoza.
Unakuta mtu anapinga kabisa ushoga hata kama yeye binafsi haumhusu lakini kwa wakati huo huo ananyuka pamba za Tom Ford ambaye ni shoga wa kujivunia.
Uwe tu ATM card haswa Master Card. Hii hutumika popote. Ushauri wangu; Money speaks
Unaweza kuwa na MasterCard ina tzs 10,000 balance! Bora ujipepee tu
RRONDO;
Usiwaogope hao jamaa. Wengi ni wale wa kingereza kigumu cha maimuna. Wadhani mrembo ana kitu huko juu??? Anaona ATM Card yako tu anajua zikiisha za pocket, utawahi hapo karibu ukimwacha anaongezea kinywaji. Unatoka unarudi unamwambia mtandao shida palee
Maneno tu kaka mkubwa. . . . .
Am humbled!!
Perfume bora kabisa kuwavutia warembo ni NMB NBC CRDB EXIM N.K ukizpata hz warembo watamiminika
Mimi ni ME mkuu...........tena rijali nasimamia kucha..............
Nisamehe ndugu sikuwa na nia mbaya.......Nchi ina watu zaidi ya milion 50, wote hatuwezi kuwaza siasa muda wote. Ndo maana kuna wanamichezo, walimu, madaktari etc.
Kama unaona siasa ni uwanja wako basi endelea ila ni makosa ukalazimisha wote tuwaze yako.
Ni Perfume gani ya kiume ambayo harufu yake huwa inawavutia sana wakina dada?
Inaitwa Givenchy.
Bei inaanzia laki 4 Original, sio za kariakoo za laki na nusu.
Hiyo haiondoki kwenye nguo hata ukifua.
Nakumbuka shuleni nilikua nikiingia class watu wote attention kwangu hadi nkawa naona noma kupakaa.
Nkipita kwenye korido naacha harufu. wadada walikua wanataka kupiga tory na mm kisa perfume tu.
Nlikua napendwa mpaka na ma class teacher, kina madam fulan fulan kibao tu. ma denti wenzangu ndo usiseme.
Perfume ni nzuri. Kama una hela kainunue.
Mm na shemeji yako wote ndo brand zetu, kuna for men and for women.
Kazi kwako boss
brand zenu halafu hujui ni GIVENCHY gani?? Kuna Givenchy kibao za kike na za kiume nyingine zinauzwa hata £15 tu.