Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

okeu
ngoja ni screenshot nitaitafuta

alafu mara ya mwisho nimekuona kwenye uzi wa cologne mwaka jana haha
za masiku

Hahaha hahahaha.... Eeeh kweli aisee.... Maisha yananifanya nipotee dear maana kutwa kukimbizana so nakosa muda

Za masiku nzuri kabisa sijui ww
 
Wote mnadanganya hapa, wadada wanavutiwa na harufu ya pesa.

Labda swali lile ni pafyumu gani inanikia vizuri? Lakini siyo kwamba wadada wanapenda harufu kwa mwanaume zaidi ya harufu ya pesa.
 
nime click hapo naona inaniletea peji ya google
kwani ukinielekeza duka sehem flani au

Nimekuwekea hio page ili uone options. Maduka no JD Pharmacy mlimani city au sea cliff village walk, duka lingine lipo Quality Center ground floor upande wa kulia.
 
Wote mnadanganya hapa, wadada wanavutiwa na harufu ya pesa.

Labda swali lile ni pafyumu gani inanikia vizuri? Lakini siyo kwamba wadada wanapenda harufu kwa mwanaume zaidi ya harufu ya pesa.

Hebu pakalia Fahrenheit uone kama sijakufuata kwa nguvu...............
 
Use miyak, sikumbuki inaandikwaje ila hii perfume iliniachanisha kwa mjamaa aliyetaka kunioa nikamfata, nikiwa field yeye ni afisa hapo ofcn. Yaani nakiri nilivua sketi na kila kitu cha ndani. Perfume tuu, siku hizi sijui kama bado IPO.
Hahahaha Dah perfume tu????pichu kuleeeee!!!
 
Back
Top Bottom