Kwanini wanawake wanapenda kukumbatiwa na wanaume kwa nyuma?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Kwa wazoefu wanaelewa kuwa ukiwa na mke/mpenzi wako wa kike mnaonga au mmelala, mara nyingi anapenda umkumbatie kwa nyuma kama stori au petipeti inaendelea. Na hii ni almost kwa wanawake wote. Wanawake ambao wameolewa au wana wapenzi wanaume wafupi kuliko wao huwa hawaenjoy sana hii hali

Naomba wanawake wanijibu kwanini wanapenda hivi, au ni kuona aibu ya kumtazama mwanaume usoni? Wanawake kadhaa niliowauliza wameshindwa kunipa sababu za kueleweka...
 
Kuuliza hilo swali ni dhahiri ni mkaka... yaani sijui nisemeje ili uelewe....
 
Bcos miili inakuwa much closer kuliko mkiangaliana. Ila hilo la ufupi umenichekesha kweli. WSijawahi ku date mwanaume mfupi maishani mwangu kwa hiyo hii kwangu ni news

Dada una mbwembwe wewe...lol... hata hivyo naona we are in the same boat...
 
Kwa wazoefu wanaelewa kuwa ukiwa na mke/mpenzi wako wa kike mnaonga au mmelala, mara nyingi anapenda umkumbatie kwa nyuma kama stori au petipeti inaendelea. Na hii ni almost kwa wanawake wote. Wanawake ambao wameolewa au wana wapenzi wanaume wafupi kuliko wao huwa hawaenjoy sana hii hali

Naomba wanawake wanijibu kwanini wanapenda hivi, au ni kuona aibu ya kumtazama mwanaume usoni? Wanawake kadhaa niliowauliza wameshindwa kunipa sababu za kueleweka...

naomba na mie nichangie japo kuwa mi c mwanamke. wanawake wengi wanapenda kukumbatiwa kwa nyumba kwani
kwa mbele huwa wanawaweka wapenzi wao wa dhati, nyumba ndogo na ma part time wanawekwa mlango wa uani.
 
sasa yupi anaefaidi hapo?
wewe ukikuta mtu kakumbatia mkeo kim gongo mgongo uta feel vipi?
utasema afadhali hajamkumbatia kwa mbele ???????
 
naomba na mie nichangie japo kuwa mi c mwanamke. wanawake wengi wanapenda kukumbatiwa kwa nyumba kwani
kwa mbele huwa wanawaweka wapenzi wao wa dhati, nyumba ndogo na ma part time wanawekwa mlango wa uani.

mi apana elewa apa:flock::flock:
 
wifi,hivi naruhusiwa kuona wivu kwa niaba ya kaka? manake unamwaga mchele, kuna kuku wa vienyeji wana :peep:

Nashangaa to maana nijuavyo kama mmelala haijalishi ila kama mmejilaza alafu mko kwenye maongezi ni vizuri mkiwa mnaangaliana au mmoja kajilaza kwenye kifua cha mwenzake wote wakiwa wanaangalia juu.

Utaongeaje na mtu huku umempa kisogo`?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom