RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,812
Wote mnadanganya hapa, wadada wanavutiwa na harufu ya pesa.
Labda swali lile ni pafyumu gani inanikia vizuri? Lakini siyo kwamba wadada wanapenda harufu kwa mwanaume zaidi ya harufu ya pesa.
Ukisikia hiyo harufu ni signal ya pesa, mie wa mjini mwenzio Preta.
Kumbe ulikuwa unachangamsha barza tu.