Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Attachments

  • tumblr_m48bk6wKCR1qefm89o1_r1_250.gif
    tumblr_m48bk6wKCR1qefm89o1_r1_250.gif
    527.4 KB · Views: 862
Unapenda bidhaa za Michael Kors?

Ukweli kwamba yeye ni shoga haikusumbui wewe?

Au maisha yake binafsi ni yake binafsi na hayana uhusiano wowote ule na bidhaa zake?

Manake Watanzania kwa unafiki nadhani tunaweza tukawa tunaongoza.

Unakuta mtu anapinga kabisa ushoga hata kama yeye binafsi haumhusu lakini kwa wakati huo huo ananyuka pamba za Tom Ford ambaye ni shoga wa kujivunia.

Napenda vitu vizuri.......haijalishi nini wala nini.......bora roho yangu iburudike............
 
Uwe tu ATM card haswa Master Card. Hii hutumika popote. Ushauri wangu; Money speaks
 
Unaweza kuwa na MasterCard ina tzs 10,000 balance! Bora ujipepee tu

RRONDO;
Usiwaogope hao jamaa. Wengi ni wale wa kingereza kigumu cha maimuna. Wadhani mrembo ana kitu huko juu??? Anaona ATM Card yako tu anajua zikiisha za pocket, utawahi hapo karibu ukimwacha anaongezea kinywaji. Unatoka unarudi unamwambia mtandao shida palee
 
Siwaogopi na wala sihitaji money or other material things to impress them.
 
Mimi ni ME mkuu...........tena rijali nasimamia kucha..............

Duh... mi ndio najua leo mkuu, siku zote huwa najua ni demu na nilikuwa nakumendea mendea sana hata PM nshakuja mara kibao.... ha ha ha ha
Badilisha jina mkuu hilo limekaa kidem dem.
 
Nchi ina watu zaidi ya milion 50, wote hatuwezi kuwaza siasa muda wote. Ndo maana kuna wanamichezo, walimu, madaktari etc.

Kama unaona siasa ni uwanja wako basi endelea ila ni makosa ukalazimisha wote tuwaze yako.
Nisamehe ndugu sikuwa na nia mbaya.......
 
Ni Perfume gani ya kiume ambayo harufu yake huwa inawavutia sana wakina dada?

Inaitwa Givenchy.
Bei inaanzia laki 4 Original, sio za kariakoo za laki na nusu.
Hiyo haiondoki kwenye nguo hata ukifua.
Nakumbuka shuleni nilikua nikiingia class watu wote attention kwangu hadi nkawa naona noma kupakaa.
Nkipita kwenye korido naacha harufu. wadada walikua wanataka kupiga tory na mm kisa perfume tu.
Nlikua napendwa mpaka na ma class teacher, kina madam fulan fulan kibao tu. ma denti wenzangu ndo usiseme.
Perfume ni nzuri. Kama una hela kainunue.
Mm na shemeji yako wote ndo brand zetu, kuna for men and for women.
Kazi kwako boss
 
brand zenu halafu hujui ni GIVENCHY gani?? Kuna Givenchy kibao za kike na za kiume nyingine zinauzwa hata £15 tu.
 
brand zenu halafu hujui ni GIVENCHY gani?? Kuna Givenchy kibao za kike na za kiume nyingine zinauzwa hata £15 tu.

Halafu we jamaa ni mvivu wa kufikiri. Kila kitu unataka kusaidiwa akili.
Nikufuoneshe bwawa zuri la kunywa maji unataka nikuoneshe jinsi ya kunywa hayo maji pia?
Hizo Givenchy za £15 za kishamba, nimetoa brand nimetoa na range ya hela, aina yeyote ni nzuri, natumia nyingi tofauti.
Uki google utaona, nianze kuanisha mpaka na Givenchy ipi na ipi.
We kweli kichwa maji.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom