ufukwe huu kuudah! Mbona mdada yuko pekupeku
wakilala ikipandazaidi?degree 45, ikiongezeka watalala chini
sent from my blackberry 8520 using jamiiforums
Dah! Mbona mdada yuko pekupeku
Unaona tatizo la kumnywesha mtoto soda, kabana kila kiungo. Angepata bia zake tatu aah mambo yangekuwa bila kubaniwa!
Dah! Mbona mdada yuko pekupeku
Dah! Mbona mdada yuko pekupeku
Tukiwa Mbingu ya saba huwa hatuvai viatu, tukirudi duniani tutavikuta.Dah! Mbona mdada yuko pekupeku
Bujibuji tuweke sawa, ni mbagala hipi hiyo? Kibondemaji? kiburugwa? Dar Live? Mbagala kuu? au maji matituuuu?