Bi nyakomba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 385
- 104
mmmh Chi mkaka chembamba uzuri.
Magenge ishirini, jirani na kwa NyokaBujibuji tuweke sawa, ni mbagala hipi hiyo? Kibondemaji? kiburugwa? Dar Live? Mbagala kuu? au maji matituuuu?
Hapo bahari iko wapi?Mbagala hakuna bahari
Mwanzo niliona kama ni mchanga wa bahari. mambo ya mobileHapo bahari iko wapi?