Penzi shatashata Mbagala

Penzi shatashata Mbagala

226703_121262291414326_50654579_n.jpg
Unaona tatizo la kumnywesha mtoto soda, kabana kila kiungo. Angepata bia zake tatu aah mambo yangekuwa bila kubaniwa!
 
Ahahahahahh, nimeambiwa alikuwa na viatu vipya vikamchubua thats why ana plasta
Wamejiachaje wenyewe na sprite zao lol!

Na donda lile atavaaje viatu ram.. Huoni plasta hapo mguuni..
 
Last edited by a moderator:
Ahahahahahh, nimeambiwa alikuwa na viatu vipya vikamchubua thats why ana plasta
Wamejiachaje wenyewe na sprite zao lol!

Ha ha ha.. Bujibuji mwenyewe ameona ameopoa..
 
Last edited by a moderator:
Hizo nguo za Mchina alizovaa huyo Dada!!!
Yaani nguo ikikukubali inalinda Heshma sana
Dada tak* kaliacha nje ya kiti agggrrrrr!!
 
Kimwili na kimuonekano hawaendani kabisaa, ingawa kiakili nadhani wanafanana. Ndio maana wanafanya wayafanyayo.
 
Huyu jamaa anaonekana anafidia sprite yake binti anaonekana hajaridhika
 
Back
Top Bottom