Penzi shatashata Mbagala

Penzi shatashata Mbagala

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,028
Reaction score
168,652
226703_121262291414326_50654579_n.jpg
 
Dah! Mbona mdada yuko pekupeku
 
Wewe Bujibuji hebu twende taratibu....hiyo chupa ya splait humo ndani uliweka splait au umefaulisha maji meupe?
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji umeamua kutuwekea picha ya ndugu yako na kipenzi wake!!!! haya bwana.
 
Jamani sitaki kuamini kuwa wahusika ndo wameridhia picha yao irushwe mitandaoni ila picha itakuwa imeokotwa mahali na inarushwa tuu bila wahusika kujua.
Au itakuwa wamepiga picha kwa mpiga picha kule coco beach sasa hawajatokea tena kufuata picha yao na hawajailipia na kwa hasira wapiga picha ndo wanazirusha mitandaoni kuwakomoa.
Au itakuwa alipigwa na rafiki yake sasa wamegombana anaamua kumrusha mtandaoni ili kumkera au kumkomoa. Japo wamefanya haya hadharani kweupe ila ninauhakika hata kama hawa wahusiuka wana fb account huwezi kuta wamerusha picha hii kwenye wall zao vinginevyo watakuwa hawana soni looh, ni mtazamo wangu tuu.
 
Degree 45, ikiongezeka watalala chini

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom