Mohamed Ismail
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 228
- 249
😂😂😂😂😂😂Umenena vema, enzi hizo barua unaiandikia kichwa cha habari kabisa "KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI". Leo hii barua ni m-pesa yenye kichwa cha habari "HCA24673 IMETHIBITISHWA....
Umenena vema, enzi hizo barua unaiandikia kichwa cha habari kabisa "KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI". Leo hii barua ni m-pesa yenye kichwa cha habari "HCA24673 IMETHIBITISHWA....
Daaaah, mkuu umenitonesha kidonda aiseeeee. Nimemkumbuka binti Magreth alivyoutesa moyo wangu enzi hizo. tulikuwa tunasoma shule moja lakini alikuwa anaenda mjini kupost barua alafu ije isomwe paredi.Dunia inaenda kasi na maisha yanaenda kasi. Zamani upendo ulikuwa una thamani zaidi hata gharama iliyotumika ilikuwa ni ya thamani zaidi. Mahusiano yalighubikwa na maneno mazuri yenye kuvutia yakiwa yamejazwa na vionjo vyenye kusisimua nafsi.
Acha masikhara yale ndio yalikuwa mapenzi.
Nakumbuka wakati nasoma barua zilikuwa zinagawiwa wakati wa luch time. Siku isiyo na jina nilipata barua toka kwa rafiki yangu wa kike, kwa papara zangu nikaifungua palepale mezani, podailiyokuwa ndani ya barua ikaangukia ktk mlo wangu, nikashinda njaa siku hiyo!Dunia inaenda kasi na maisha yanaenda kasi. Zamani upendo ulikuwa una thamani zaidi hata gharama iliyotumika ilikuwa ni ya thamani zaidi. Mahusiano yalighubikwa na maneno mazuri yenye kuvutia yakiwa yamejazwa na vionjo vyenye kusisimua nafsi.
Acha masikhara yale ndio yalikuwa mapenzi.
Enzi hizo barua unaandika kichwa cha habari kabisa, "TENDO LA NDOA HADI TUKIFUNGA PINGU ZA MAISHA" , leo barua yenye kichwa cha habari "MPE BODA BODA SIMU NIMUELEKEZE AKULETE SEHEMU GANI." [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenena vema, enzi hizo barua unaiandikia kichwa cha habari kabisa "KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI". Leo hii barua ni m-pesa yenye kichwa cha habari "HCA24673 IMETHIBITISHWA....
Da, mapenzi yanapitia vita nyingi, lakini daima yanashinda...Enzi hizo barua unaandika kichwa cha habari kabisa, "TENDO LA NDOA HADI TUKIFUNGA PINGU ZA MAISHA" , leo barua yenye kichwa cha habari "MPE BODA BODA SIMU NIMUELEKEZE AKULETE SEHEMU GANI." [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]da, mapenzi yanapitia vita nyingi, lakini daima yanashinda...
Enzi hizo barua unaandika kichwa cha habari kabisa, "TENDO LA NDOA HADI TUKIFUNGA PINGU ZA MAISHA" , leo barua yenye kichwa cha habari "MPE BODA BODA SIMU NIMUELEKEZE AKULETE SEHEMU GANI." [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna jamaa wao walikua wanajiandikia barua wakati wa likizo; shule ikikaribia kufunguliwa wanaziposti then inawaijia shule...wanapata furahaa pale wanasomwa parede kuchukua barua.
Yote haya kisa domo zege.