Huyo mke hakufai brother. Lakini pia kuzini na mdogo wake haikuwa sahihi. Kwa kuwa ni ndoa ya Kikristo mnachoweza kufanya ni ku-separate kwa muda (mapadri wanaruhusu). Hii itatoa fursa kwa mkeo kujirudi na hatimaye kujenga ndoa imara zaidi hapo baadaye. Iwapo hatajirekebisha mnaweza ku-extend hiyo separation.
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu
kwa aina ya mume huyu!wacha tu mke awe na hiyo tabia!
mwanaume ambaye hana subra na kujitafiti kiasi hiki hata malaika angekuwa na jeuri!
wamka mani!mi nasema tu ya moyoni mwangu,
hawa wali wa leo wamebadilika sana, sijajua ni malezi ya huko watokako au ninini, hivi tatizo hasa ni nini nyie akina mwali / mpora?
Waoo, umerudi? heri ya Christmas na mwaka mpya.
wamka mani!
vijana wenu na nyie wamekuwa na kuchovya sana!MNO!
walia mwana wanabaki kuwa nao hivo hivo!
inawezekanaje ndoa mwaka tu ushaona mwanamke hakufai!
ulichagua mke kwa muda gani!
si wangebaki kuonana steers na mlimani city kununuliana popcorn tuu !
walioana ili kiwe nini?
na acha kabisa masikhara na kisirani cha kulazwa una njaa!snowhite, nakubaliana na weye
hawa vijana nao nguvu sijui zimekuwa kidogo,
kama hujiamini unakwenda nje kufanya nini,
mwisho unamlaze mkeo chukuchuku kila siku matokeo ndo hayo wapora wanakuwa na hasira kwa kuwa hawatimiziwi ipasavyo.
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu
nimerudi mwaya!
nimerudi lakini nakutana na mabwaku huku mpoka moyo unaniuma!we wajua mi navoumia nikisikia ndoa inafika mahali hapa!
inaniuma sana!
vijana hawapo makini kwenye kuchagua wenzi matokeao yake wanaona milango ya kuvunja ndoa zao ni myepesi sana kufikika of which is very wrong!
mwaya xmas ilikuwa njema na tegemea na mwaka nao utaisha salama!
HERI NAWE dear!
nimependa hapo kwenye redYou are absolutely right; ni kosa ya dada yake/mkeo. After all wanaume nyie ni DHAIFU.
Wewe endelea tu kwani ni wa kwanza au utakuwa wa mwisho bwana. Huyo shemejio ana huruma sana kwakweli!
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu
nayajua yote hayo kuwa sina nidhamu;ni vyema unishari badala ya kulaumu ndugu
hapo kwenye bold huwa nalisema hili kila siku humu!Karibu sana, tumemisi busara zako sana. Naamni tutavuka salama, mwaka 2013 ukawe mwaka wa kukumbukwa kwako na familia yako, na kwa NEEMA ya Mungu ipitayo ufahamu wetu, Itakuwa.
Pole kwa kweli inaumiza sana ndoa inavyochukuliwa kirahisi. Unfortunately dhambi zimezoeleka sana kiasi cha uzinzi kuonekana ndio habari ya mujini. Mungu atusaidie kwa kweli sisi tulio nje tukiingia tuingie vyema pia atupe uvumilivu na kurekebishana.
Mara nyingi mahusiano yaliopitia kwenye changamoto yakashinda huwa imara maradufu, lakini ziku izi watu wanakwepa changamoto zake wanatafuta mbadala nje ya nyumba. upendo una gharama zake tena nyingi kuliko. Kama unapenda halafu hakuna sacrifice/gharama yoyote unayoingia kumsaidia mwenzio, huo upendo ni mfu in simple terms
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu
hapo kwenye bold huwa nalisema hili kila siku humu!
kama upendo unaompenda mwenzi wako hauna changamoto ya aina yoyote hujapenda bado!maana kupenda ni pamoja na kukubali mwenzio alivyo na kukua pamoja nae plus kumfanya ajitambue na kuona thamani yako na yake pia!
iwapo ndoa ya mwaka tu mke anashutumiwa kuwa ana kiburi mbona hawajakutana na mengi tu yaliyopo kwenye ndoa!
NDOA NI ZAIDI YA KUCHEZA KWAITO NEW STYLE jamani!
NDOA NI MAISHA YA KUJIFUNZA NA KUISHI UMOJA KATIKA UWILI !
sijui lini tunaweza kulikubali hili na kuliishi katika maisha yetu!na hakika tutakapofika hapa ndio haya ya kuhalalisha dhambi kwa kutenda dhambi ndipo yatakoma!