penzi la shemeji

penzi la shemeji

Sisi wanaume ni WADHAIFU sana...pole sana jerrytz kwa matatizo walokuletea mtu na dadaake!
Ila pia ukimuona shem wako mpe salaam zangu..she seems to be a kind and caring lady...lolz
Ukiacha hayo mapungufu kidogo ya mkeo kwa kweli umeoa watu wakarimu sana, i envy you kwa kweli.
Nakutakia mwaka mpya mwema!
c.c snowhite , Kaunga , gfsonwin , Tized na rafiki yangu mzabzab
 
Last edited by a moderator:

kwa kweli ni wakarimu sana!
 
Mkuu SnowBall umenivunja mbavu kwa kweli. Umepaka mafuta kwa mgongo wa chupa, afu wataka aone ameng'aa sana na kunukia manukato yake, hahaaaa! lol

Nakutakia kila la kheri, uvuke salama na familia yako pendwa. Asante kwa yote 2012.
 
Kwa kuwa mkeo mkorofi basi mpe taraka na umuoe huyo shemeji yako mtamu ili akuondolee stress.na hyo mkeo wa sasa nchomekee mimi maana nakaufundi wa kukaa na wanawake wakorofi.
 
Kimlacho mwenzake siku zote huwa kina njaa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kula kila kitu jerrytz; bila shaka nafasi katoa mwenyewe mkeo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Yani ana bahati sana kwani ingekuwa ni Mimi ningemjengea kabisaaaa kwani hawa wanawake wanaudhi sana Best!!!!!!
Mmmh makubwa.. haya utajengea wangapi ndugu.. hiyo sio solution bali unaukaribisha umaskini bila kujijua..
 
Sisi wanaume ni WADHAIFU sana...pole sana jerrytz kwa matatizo walokuletea mtu na dadaake!
Ila pia ukimuona shem wako mpe salaam zangu..she seems to be a kind and caring lady...lolz
Ukiacha hayo mapungufu kidogo ya mkeo kwa kweli umeoa watu wakarimu sana, i envy you kwa kweli.
Nakutakia mwaka mpya mwema!
c.c snowhite , Kaunga , gfsonwin , Tized na rafiki yangu mzabzab

hivi ni macho yangu yamesoma vby ama ndivyo ilivyo??
 
kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu

Ukishiqa shikamana.
Kila akojoae qa kuchuchuma analiwa,
Ingaa sio qeli qa kila mtu.

Usikilize moyo wako unavyosema,
Hasa ukizingatia hukuenda mbali;
Ushauri wa maana halalisha kabisa;
Ujilie qa raha zako na furaha.

Hongera kaka jerrytz qa umaluuni wako unaotegemea kichwa cha dhakari katika kufikiri.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
huo ukorofiki na utovu wa nidhamu hukuona kipindi cha uchumba au ulilazimishwa kumuoa?
kuna uwezekano hayo mambo ya kuchombezana na shemejio mliyaanza muda mrefu ndiyo maana wife kawa mkorofi na jeuri
 
ndoa za siku hz ni full visingizio na kuchokana, jamani kwa mambo haya mbona mnatutisha ht sie ambao bado hatujaingia kwenye hiyo taasisi.

km ni mkorofi, ilikuwaje ukamuoa? na km amebailikia ndani ya ndoa ushachukua hatua gn za kumrekebisha? au ndo umekimbilia kwny talaka.
Badala ya kumuacha jumla,kwakuwa ni mke wa ndoa,mpe likizo ya muda huenda akajirekebisha.
 
You are absolutely right; ni kosa ya dada yake/mkeo. After all wanaume nyie ni DHAIFU.

Wewe endelea tu kwani ni wa kwanza au utakuwa wa mwisho bwana. Huyo shemejio ana huruma sana kwakweli!

Mara nyingine uwe unaangalia unayempa ushauri ni nani na nini anataka toka katika watu ili a justfy matendo yake.
Mwenzio atafikiri umempa go ahead ya kuendelea na migegedo na shemeji yake!
 
So hiyo ndo ilikuwa solution.....
Ulivomgegeda shemeji ako mkeo kawa na nidhamu? kaacha ukorofi?
kama ndevu ndo zinakamilisha uanaume wako, beberu kakuzidi ujue!!!!!!!!!!
 
Kwa hiyo mkuu ulivyolala na shemejio ndio ulitatua tatizo???
Kaunga kakujibu vizuri sana kwamba mliokosa nidhamu ni wewe na shemejio.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
So hiyo ndo ilikuwa solution.....
Ulivomgegeda shemeji ako mkeo kawa na nidhamu? kaacha ukorofi?
kama ndevu ndo zinakamilisha uanaume wako, beberu kakuzidi ujue!!!!!!!!!!
Evelyn Salt uliosoma moyo wangu aisee ngoja atujibu kwanza.

Hawa watu sometimes wana kero sana.

They don't look for solutions of their marriage problems instead they are bringing in more probs mtcheeeeewwwWwwwww (msonyo).

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt uliosoma moyo wangu aisee ngoja atujibu kwanza.

Hawa watu sometimes wana kero sana.

They don't look for solutions of their marriage problems instead they are bringing in more probs mtcheeeeewwwWwwwww (msonyo).

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Bad enough anajustify eti wife ndo chanzo...
If u were seeking a solution kwanini usiongee na wife mwenyewe, kama ulihitaji msaada wa shemeji kwanini msikae wote nyumbani kuongea wewe, wife na huyo shemejio, why mkaongelee hotelini?
 
Sisi wanaume ni WADHAIFU sana...pole sana jerrytz kwa matatizo walokuletea mtu na dadaake!
Ila pia ukimuona shem wako mpe salaam zangu..she seems to be a kind and caring lady...lolz
Ukiacha hayo mapungufu kidogo ya mkeo kwa kweli umeoa watu wakarimu sana, i envy you kwa kweli.
Nakutakia mwaka mpya mwema!
c.c snowhite , Kaunga , gfsonwin , Tized na rafiki yangu mzabzab
SnowBall duh.. Hivi kumbe ukarimu ndo uko namna hiyo?????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Guys this is very serious; ln fact last week nilishaanza mchakato wa ku divorce;nilipokwenda church baada ya majadiliano marefu nikaambiwa kanisa halina uwezo wa kutenganisha ndoa;hivyo ombi langu la divorce lipo kwa mkuu wa wilaya;issue ya talaka ndio iliyotuleta hapo kebbys ili tujadili

shem ameona aepusha ndoa kuvunjika,kwa kukupa penzi unalokosa kwa dadake.
Lakini,angalia ukorofi wake unasababishwa na nini?imekuwaje kabla ya kuoana ukubali tabia aliyokuwa nayo,halafu leo abadilike,lazima kuna kuna kitu kimeingilia hapo kati ya wewe na mke wako.

Nakuuliza maswali machache;
[1]vipi?shughuli zake za kila siku zinaendaje?
[2]huwa anasafiri,?
[3]baada ya kazi,huwa anafanya nini?
[4]company ya marafiki zake,ni ile kabla ya ndoa au wale baada ya ndoa,anaishi vipi na majirani?.
[5]anagombana na wifi zake au wanelewana?[kama wanagombana dont worry,inaonesha wanadhibitiana]
 
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu

Mkuu, mie naona endelea kula vitu tu, dada mtu/mkeo kajichimbia kaburi mwenyewe! Atachezeaje shilingi karibu na tundu la choo? Mzigo wa mjinga huishia begani mwake! Tena mhalalishe kabisa huyo shemeji/mkeo mpya, mkeo wa zamani akiona wivu aidha aombe talaka ama ajirekebishe ili aendelee kuwa mke mkubwa! Shenzi type........
 
afu we jerrytz umeenda wapi? mbona utaki jibu? watu wanakushauri huku we ushaenda chobingo kumgegeda shemeji, dah we majanga sana
 
Last edited by a moderator:
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu

Nikisema, mnasema mwanamalundi anachonga sana. Embu oneni wenyewe sasa huyu jamaa ndio amenzisha mada gani hapa? Sasa kuna kitu gani cha kujifunza hapa. After all, this is your private business. Hayatuhusu.

namalizia.... kama hana cha kuandika aangalie comments za watu zilizoenda shule!!!!
 
Back
Top Bottom