penzi la shemeji

penzi la shemeji

Brother endelea kutafuna mdogo mtu, huoni stress zimepungua? Isitoshe mbona mfalme Mswati anao kibao? Raha jipe mwenyewe usingoje kupewa na huyo mkewe mwenye kiburi..!
 
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu

sasa kaka na wewe ndoa ya mwaka mmoja tu ushaanza kutomba nje!!!
 
sasa kaka na wewe ndoa ya mwaka mmoja tu ushaanza kutomba nje!!! Lakini inajulikana mkuu ukikaa na shemeji utakula tu!
 
"An error doesn't become a mistake until you refuse to correct it." by JF Kennedy

Kijana- It takes a heart to admit an error, and it a takes man/womanhood to even take an extra step correcting it. While most of us point fingers we have either sinned by our thoughts kwa hao hao mashemeji zetu. Ni common sana wanaume kutongoza ndugu za wake zao- but its uncommon for the husbands to admit as you did.

The sin will haunt your life forever thus you need to denounce this ASAP. Imagine in years to come every time u meet her- she reminds you of the sin. And if by mistake u are involved with a person she knows of, you will be insecure of the chances that she will disclose your weakness. From now Don't show any further signs that you need any discussion whatsoever with your sister in law. After all, she (and so are) is young, inexperienced and naive. U need an elder person to help you in this turmoil

two: Confess to God of your sin: make a rational decision of NEVER to repeat it.

Three: in future even if you remarry and find your spouse problematic: Never discuss the weakness with the younger ones. you never know when the two of you reconciles and if your spouse finds that you were bussy disclosing her/him , this will narrow the chances of re-conciliation , that's why in such cases advice from a mature , experienced or religious person is crucial.

four: I have no idea why you are considering divorce but look at your self as well, you may be the cause of your wife's problems. Divorce should be the last,very last option in life. In the first years of marriage couples have great to learn from each others personalities and adjustments are necessary. Please reconsider a discussion with your wife and not divorce.
 
its very interesting kuona watu wanavyopandwa na jazba kwenye forum za kijamii!
 
Kuna vitu vingi vina miss kwenye hii story. Yaani mlikutana Kebbyz pale nje garden juu nyaya za umeme zenye watt kubwa sana mkawa mnadiscuss juu ya mkeo wewe a shemeji mtu? Ok, na kama mlidiscuss juu ya tabia ya mkeo wewe na shemeji yako, which I dont think ni sawa kwako wewe au huyo shemejio pasipo kuwepo mkeo mwenyewe, mlifikiaje muafaka wa kupulizana wakati subject matter haikuwa nyie kupulizana?
Naona ni sawa na kupewa swali la hesabu kisha ukajibu kana kwamba unajibu swali la Biology.
Mkuu, kubali aidha wewe au huyo shemeji yako alikua anamtamani mwenzie mda mrefu sana. Kwanza sijui kati ya wewe au yeye nani HASA aliyeitisha hicho kikao?
Ukweli ni kwamba hujaelezea bado sababu halisi za ugomvi wako wewe na mkeo. Ukilieleza hilo nadhani watu wazima tutakua tunapata majibu ya kutosha.
 
ndoa za siku hizi ndoano.....ndoa ya mwaka mmoja ushatafuta talaka ulikuwa hujajiandaaa kuoa
 
Una mapepo wewe na shemejio. Tena jini mahaba
 
Back
Top Bottom