penzi la shemeji

penzi la shemeji

Huyo mke hakufai brother. Lakini pia kuzini na mdogo wake haikuwa sahihi. Kwa kuwa ni ndoa ya Kikristo mnachoweza kufanya ni ku-separate kwa muda (mapadri wanaruhusu). Hii itatoa fursa kwa mkeo kujirudi na hatimaye kujenga ndoa imara zaidi hapo baadaye. Iwapo hatajirekebisha mnaweza ku-extend hiyo separation.

kwa aina ya mume huyu!wacha tu mke awe na hiyo tabia!
mwanaume ambaye hana subra na kujitafiti kiasi hiki hata malaika angekuwa na jeuri!
 
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu

Wanaume wakati mwingine tu wadhaifu kwa wadada, lakini hata shemejio????,

Shetani sio mshkaji ki hivyooo mkuu, kama huamini endelea tu kumzoea utuona mwisho wake utakavyokua wa aibu na huyo shemeji yako. Mbuyu ulianza kama mchicha kaka, na usichezee vitu ambavyo huanza kimasihara-sihara, hufika mbali sana kuliko vilivyoanza siriaz wakati mwingi. si ajabu ukashangaa mdogo mtu anatumia udhaifu wa dada yake kukupofusha hata ifikie kumfukuza mkeo ili umuoe mdogo mtu. ukishashikwa ufahamu kwa tamaa zako ni maamuzi marahisi sana kuyafanya haya. (si unaona keshaanza kuutumia mpaka sasa na umenasa?)

Good thing, Inaonesha bado dhamiri yako inakusuta, so please stop that na utafute njia nzuri ya kujiimarisha na mkeo.

Ili mtu upone lazima ujifunze kuupenda ukweli daima, maana unaweza fanya kila njia ukaukwepa ukweli lakini madhara ya kuukwepa hayakwepeki.
 
kwa aina ya mume huyu!wacha tu mke awe na hiyo tabia!
mwanaume ambaye hana subra na kujitafiti kiasi hiki hata malaika angekuwa na jeuri!

Waoo, umerudi? heri ya Christmas na mwaka mpya.
 
mi nasema tu ya moyoni mwangu,
hawa wali wa leo wamebadilika sana, sijajua ni malezi ya huko watokako au ninini, hivi tatizo hasa ni nini nyie akina mwali / mpora?
wamka mani!
vijana wenu na nyie wamekuwa na kuchovya sana!MNO!
walia mwana wanabaki kuwa nao hivo hivo!
inawezekanaje ndoa mwaka tu ushaona mwanamke hakufai!
ulichagua mke kwa muda gani!
si wangebaki kuonana steers na mlimani city kununuliana popcorn tuu !
walioana ili kiwe nini?
 
Waoo, umerudi? heri ya Christmas na mwaka mpya.

nimerudi mwaya!
nimerudi lakini nakutana na mabwaku huku mpoka moyo unaniuma!we wajua mi navoumia nikisikia ndoa inafika mahali hapa!
inaniuma sana!
vijana hawapo makini kwenye kuchagua wenzi matokeao yake wanaona milango ya kuvunja ndoa zao ni myepesi sana kufikika of which is very wrong!
mwaya xmas ilikuwa njema na tegemea na mwaka nao utaisha salama!
HERI NAWE dear!
 
snowhite, nakubaliana na weye
hawa vijana nao nguvu sijui zimekuwa kidogo,
kama hujiamini unakwenda nje kufanya nini,
mwisho unamlaze mkeo chukuchuku kila siku matokeo ndo hayo wapora wanakuwa na hasira kwa kuwa hawatimiziwi ipasavyo.

wamka mani!
vijana wenu na nyie wamekuwa na kuchovya sana!MNO!
walia mwana wanabaki kuwa nao hivo hivo!
inawezekanaje ndoa mwaka tu ushaona mwanamke hakufai!
ulichagua mke kwa muda gani!
si wangebaki kuonana steers na mlimani city kununuliana popcorn tuu !
walioana ili kiwe nini?
 
Last edited by a moderator:
Siku ukisikia mke wako analiwa uroda na ndugu yako tena wa damu utajisikiaje?Kumbuka malipo ni hapa hapa duniani.
 
snowhite, nakubaliana na weye
hawa vijana nao nguvu sijui zimekuwa kidogo,
kama hujiamini unakwenda nje kufanya nini,
mwisho unamlaze mkeo chukuchuku kila siku matokeo ndo hayo wapora wanakuwa na hasira kwa kuwa hawatimiziwi ipasavyo.
na acha kabisa masikhara na kisirani cha kulazwa una njaa!
 
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu

Badilika kwanza wewe,huo ni uzinzi mimi siafiki kabisa,mpende mkeo iweje leo ndio amebadilika.
 
nimerudi mwaya!
nimerudi lakini nakutana na mabwaku huku mpoka moyo unaniuma!we wajua mi navoumia nikisikia ndoa inafika mahali hapa!
inaniuma sana!
vijana hawapo makini kwenye kuchagua wenzi matokeao yake wanaona milango ya kuvunja ndoa zao ni myepesi sana kufikika of which is very wrong!
mwaya xmas ilikuwa njema na tegemea na mwaka nao utaisha salama!
HERI NAWE dear!

Karibu sana, tumemisi busara zako sana. Naamni tutavuka salama, mwaka 2013 ukawe mwaka wa kukumbukwa kwako na familia yako, na kwa NEEMA ya Mungu ipitayo ufahamu wetu, Itakuwa.

Pole kwa kweli inaumiza sana ndoa inavyochukuliwa kirahisi. Unfortunately dhambi zimezoeleka sana kiasi cha uzinzi kuonekana ndio habari ya mujini. Mungu atusaidie kwa kweli sisi tulio nje tukiingia tuingie vyema pia atupe uvumilivu na kurekebishana.

Mara nyingi mahusiano yaliopitia kwenye changamoto yakashinda huwa imara maradufu, lakini ziku izi watu wanakwepa changamoto zake wanatafuta mbadala nje ya nyumba. upendo una gharama zake tena nyingi kuliko. Kama unapenda halafu hakuna sacrifice/gharama yoyote unayoingia kumsaidia mwenzio, huo upendo ni mfu in simple terms
 
na inawezekana huyo shemeji yako amechangia yote hao,manguvu ya giza hayo.ni mdogo wake tumbo moja/nina mashaka...
 
You are absolutely right; ni kosa ya dada yake/mkeo. After all wanaume nyie ni DHAIFU.

Wewe endelea tu kwani ni wa kwanza au utakuwa wa mwisho bwana. Huyo shemejio ana huruma sana kwakweli!
nimependa hapo kwenye red
 
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu

Hapo kwenye red:Mmezungumza tabia ya dada mtu kwa kufanya mapenzi?Huyo mdogo wake alikwambia ni kwanini dada yake anafanya hivyo?Ilishindikana nini na mkeo kujumuishwa katika mazungumzo hayo kama kweli yalikuwa na nia njema au ndo umbea tu na uzinzi ndiyo uliwapeleka hapo?Kama mkeo mkorofi kaa naye ,uongee naye wewe mwenyewe haya mambo ya kuongea onge na watu baki sio mazuri.
 
Karibu sana, tumemisi busara zako sana. Naamni tutavuka salama, mwaka 2013 ukawe mwaka wa kukumbukwa kwako na familia yako, na kwa NEEMA ya Mungu ipitayo ufahamu wetu, Itakuwa.

Pole kwa kweli inaumiza sana ndoa inavyochukuliwa kirahisi. Unfortunately dhambi zimezoeleka sana kiasi cha uzinzi kuonekana ndio habari ya mujini. Mungu atusaidie kwa kweli sisi tulio nje tukiingia tuingie vyema pia atupe uvumilivu na kurekebishana.

Mara nyingi mahusiano yaliopitia kwenye changamoto yakashinda huwa imara maradufu, lakini ziku izi watu wanakwepa changamoto zake wanatafuta mbadala nje ya nyumba. upendo una gharama zake tena nyingi kuliko. Kama unapenda halafu hakuna sacrifice/gharama yoyote unayoingia kumsaidia mwenzio, huo upendo ni mfu in simple terms
hapo kwenye bold huwa nalisema hili kila siku humu!
kama upendo unaompenda mwenzi wako hauna changamoto ya aina yoyote hujapenda bado!maana kupenda ni pamoja na kukubali mwenzio alivyo na kukua pamoja nae plus kumfanya ajitambue na kuona thamani yako na yake pia!
iwapo ndoa ya mwaka tu mke anashutumiwa kuwa ana kiburi mbona hawajakutana na mengi tu yaliyopo kwenye ndoa!
NDOA NI ZAIDI YA KUCHEZA KWAITO NEW STYLE jamani!
NDOA NI MAISHA YA KUJIFUNZA NA KUISHI UMOJA KATIKA UWILI !
sijui lini tunaweza kulikubali hili na kuliishi katika maisha yetu!na hakika tutakapofika hapa ndio haya ya kuhalalisha dhambi kwa kutenda dhambi ndipo yatakoma!
 
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu

Hapa naona mwenye matatizo makubwa ni wewe. Kwani Umeondoaje stress kwa kufanya mapenzi na shemeji yako? je ukorofi wa mkeo ilikuwa ni kukataa kufanya naye mapenzi?!!!!! wewe na huyo shemeji yako ni wahuni / wazinzi tu wa kawaida. Haingii akilini ukorofi wa mkeo uwe silved kwa kufanya mapenzi na mdogo wake.
 
Nyinyi mliishapendana long time haiwezekani mwende kuongea tu then muishie kula tunda.
Na inawezekana hiyo ikawa sababu kubwa ya mke wako kubehave hvy maana tayari ameishashtukia mambo yenu.
Achana na shemeji yako mara moja na kama yeye anajiona ana busara kuliko dada yk kwanini asiolewe? Tena umwambie aanze maisha yk maana tayari ana kazi ili mbaki kwa amani na ndoa yako.
 
hapo kwenye bold huwa nalisema hili kila siku humu!
kama upendo unaompenda mwenzi wako hauna changamoto ya aina yoyote hujapenda bado!maana kupenda ni pamoja na kukubali mwenzio alivyo na kukua pamoja nae plus kumfanya ajitambue na kuona thamani yako na yake pia!
iwapo ndoa ya mwaka tu mke anashutumiwa kuwa ana kiburi mbona hawajakutana na mengi tu yaliyopo kwenye ndoa!
NDOA NI ZAIDI YA KUCHEZA KWAITO NEW STYLE jamani!
NDOA NI MAISHA YA KUJIFUNZA NA KUISHI UMOJA KATIKA UWILI !
sijui lini tunaweza kulikubali hili na kuliishi katika maisha yetu!na hakika tutakapofika hapa ndio haya ya kuhalalisha dhambi kwa kutenda dhambi ndipo yatakoma!

Asante, Umemaliza kwa kweli, Ubarikiwe sana.
Mkuu ukisoma kwa makini na kuufanyia kazi ushauri huu utafanikiwa kwa kiwango kingine. mkuu kiburi kimefuta mema yake yooote? kaa chini ujitafakari na uchukue hatua kujiokoa wewe na ndoa yako. Changamoto ni zakukaribisha sio kuzikimbia.
 
kha!!! jamani wanawake wamekuwa simple sana kuwagegeda...sasa tuongea kukaveika kugegedana...huyo shem wee endelea kumgegeda tuu ila hapo home kaa tayari kwa dharau....upole na nidhamu yake itapotea maana sasa yeyd anajisikia kama mke
 
Back
Top Bottom