You are absolutely right; ni kosa ya dada yake/mkeo. After all wanaume nyie ni DHAIFU.
Wewe endelea tu kwani ni wa kwanza au utakuwa wa mwisho bwana. Huyo shemejio ana huruma sana kwakweli!
kwa wale watakatifu ambao hawajawahi kutenda kosa hapa duniani na wakaamua kutoa kashfa na matusi asanteeni sana! Kwa wale walioona kosa langu na kutoa ushauri mwema Mungu awazidishie hekima!Nimejifunza mengi hapa
ni haramu kabisa kwa muktadha wa KIDINI-UISLAM,
lisa i hv discovered my mistake
Jamani wanaume mna tamaa kama mafisi!!!!halafu visingizio vyenu ndo hivo mwanamke,kwani mkeo akikuudhi lazima ulipize kwa kwenda kufungua zipu kwa mwanamke mwingine??mangapi mnatutenda sisi wanawake hatuendi kupunguza hasira kwenye dushe*za wengine?Punguzeni tamaa za kijinga
mimi ni kijana ambaye nimeoa mwaka jana;bahati mbaya mke wangu ni mkorofi ajabu tena hana nidhamu; tunaishi na shemeji yangu mdogo wake na mke wangu; kiukweli ni mkarimu na mwenye nidhamu; juzi aliniomba tukutane Kebbys hotel baada ya muda wa kazi ili tuzungumze tabia ya dada yake; yeye pia ni mwajiriwa; kiukweli baada ya mazungumzo marefu niliamua kupunguza stress kwa kufanya nae mapenzi;na ilikuwa nzuri maana huzuni na mawazo yote yameisha; nashiwishika kuendelea na mahusiano na shemeji yangu