Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Hhahahaha kwa mtonyo wa suti za kushona,?atasubiri sana....LMFAO
Hata Diamond enzi zile kachoka Kijitonyama ma sister du walikuwa wanamcheka eti ana domo baya!
Leo hii dream ya hao hao masister du wawe na Diamond!Jamaa huyu mnamcheka leo akiwa na mawe ww mwenyewe utamuita "baby"!