Penzi la mtandaoni

Siku nyingi sana huwa nnatamani sana kupata mpenzi mwenye penzi la kweli kupitia mtandaoni,lkn cjawahi kupata!! Nifanyeje? Km yupo,namhitaji sana,lkn asiwe mpenda raha. Mi nataka wa kuniliwaza kwa penzi la dhati na si kwenda club.

weka sivii baba. Primary ulisoma canada, secondary america hadi six, first degree england. Ukarudi kidogo nyumbani ukaajiriwa pale magogoni. Baada ya miaka miwli ukaenda ujerumani ukachukua masters. Kwa sasa uko magogoni kama mshauri wa bwana mkubwa kuhusu uchumi. Kopi weka profire hiyo ung'oe mtoto wa ukweli jf. Watu hawaangali sura siku hizi. Wenzako ndio tunavyong'oa.
 
Hawapatikanagi kabisa, we bora uendelee tu kumuendesha shetani Mr Devil's Driver.

Hebu tupe updates boss wako anakusudia nini kuhusu uchaguzi ujao TZ? ee bwana eeh! usikute bosi nae yupo hapa JF eeh, ila alivyo kilaza na mjinga hatashtuka hata ukitupia hata hizo nyepesi apa. Akizingua mwambie bado siku zake zinahesabika.

Pokea shukrani zetu.
shikamoo
 
Siku nyingi sana huwa nnatamani sana kupata mpenzi mwenye penzi la kweli kupitia mtandaoni,lkn cjawahi kupata!! Nifanyeje? Km yupo,namhitaji sana,lkn asiwe mpenda raha. Mi nataka wa kuniliwaza kwa penzi la dhati na si kwenda club.

Na huwezi kumpata,wewe upewe raha tu halafu wenzio usiwape raha,sema kwa siku tunatembelea viwanja vikali vingapi, una gari ya aina gani,?
Kwa siku utanipa mkwanja kiasi gani hadi nikubali?
Ukipenda raha gharamia bana hatuwez kukupa bila we kutupa raha
Halafu una undugu ba pindaa eee
 
fundi juma kashona vibaya..me i like my man in black suit ...hizi za kijani na damu ya mzee mi sipendi

Tafadhali mkuu, sisi wafanya biashara wa ng'ombe tunapendeza sana kwa suti za rangi ya kijani, njano, nyekundu eeehh....
 
Mtaani wameisha hadi umekimbilia humu yaan umekataliwa mtaan kote halaf sie tukukubali,
Thubutuuuuu
 
Siku nyingi sana huwa nnatamani sana kupata mpenzi mwenye penzi la kweli kupitia mtandaoni,lkn cjawahi kupata!! Nifanyeje? Km yupo,namhitaji sana,lkn asiwe mpenda raha. Mi nataka wa kuniliwaza kwa penzi la dhati na si kwenda club.

Habari za njombe kaka dereva? Siku zingine ukikaa uwe unafungua vifungo vya thuti. Manake unaonekana kama unatoshia kupaa
 
Mtaani wameisha hadi umekimbilia humu yaan umekataliwa mtaan kote halaf sie tukukubali,
Thubutuuuuu

Mna mkejeli huyu jamaa bila sababu zozote za msingi!

Kutafuta mchumba ni haki yake ya msingi na ya kibinadam na sijaona kosa lolote alilofanya hapa!

Kama kaka huyu sio type yako pita kimywa kinywa sio kumkejeli!Wisdom is the cardinal virtue
 
Back
Top Bottom