Penzi la mtandaoni

Penzi la mtandaoni

Ndo mapenzi ya siku hizi, eti inapendwa pochi mengine mnavumiliana.


"Never hate the game..change the game"

umeona eh,kw situation km yake,mi tabia zake ntazijuaje,weka salary slip au bank balance,and we will take it from ther...hahaha,lol
 
watu8

Ukiunga mkono udhalilishaji huu unaofanywa na hawa dada zetu kwa jamaa huyu ipo siku na ww watakudhalili na itakuwa too late kukemea!

Awe msichana au mvulana kila mmoja wetu ana haki ya kubandika picha yake hapa kwa topic anayo ona yy inafaa kwenda na picha zake!Kama picha haijakupendeza haina maana ndiyo umtusi

Bullying is not accepted in any how!Jamaa huyu ni shujaa kaweka picha yake halisi

duh Malafyale umeongea kwa uzuri sana ........BIG UP nilikuwa nafatilia comments zako tu hum
 
Last edited by a moderator:
Ndivyo alivyo na namsifu kuleta picha yake halisi !

Stop bullying him pls!Kama ww umebahatika kuwa na bf handsome zaidi ya huyu jamaa mshukuru Mungu

Mnamdhalilisha kijana huyu bila sababu yyt ile!Kosa lake ni nn?Hapana hii haikubaliki

Tusikashifiane kwa sababu tu hatujuani!Ktk ukoo wenu wote hamna mvulana mwenye sifa kama hizi?Umewahi mkashifu?

Hii haikubaliki!

Mkuu umeandika kwa uchungu duh!
 
tatizo amezeeka sana hadi anatoa mvuke...nani akae eda mapema hivo!pesa sio maisha
mwambieni atumie ant ageing pills

Smile... Lol umeniacha hoi jamani punguzeni comments mtavunja mbavu !!
 
hahaha gals leave this guy alone jamani.....

sasa mi nikiweka picha yangu si mtakimbia? Sema wake zangu hawawezi kuruhusu
 
attachment.php
 
Mi naogopa hata kurusha picha yangu maaana unaweza pondwaa humu mpaka ukajiuaa,ntajitoa kimasomaso siku moja
 
fundi juma kashona vibaya..me i like my man in black suit ...hizi za kijani na damu ya mzee mi sipendi

Ha ha... Smile umetugusa hapa..me and lara 1 can make an ugly man shine in a blak suit..embu tutafute mara moya
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi ya mtandaoni ya uongoooo mmxiiuuu sitaki kusikia ila nashauri kama mnapenda humu mtandaoni shart,
hakuna kupeana no za simu ni PM tu mwanzo mwisho na wala hakuna ile mnasema kuweka picha hapo itakuwa poa maana humu unaweza kulikoroga vibaya ukashindwa kulinywa
 
Back
Top Bottom