Penzi la mtandaoni

Penzi la mtandaoni

Mi nashangaa wanaomponda jamaa wakati ukiwaona waume/bf zao unaweza hama hata njia. Huyu jamaa yuko poa sana! Acheni unafiki wa kujifanya mnaponda hapa huku mnamtamani. Mwanaume pesa na kazi na sio sura. Unataka sura nzuri kwani kwako kuna biashara ya mabwabwa? Tena hawa jamaa wenye sura za kushoto wanaopoaga wanawake wazuri mpaka unaweza ukasihangaa! Aafu kati yenu mnaomponda jamaa kuna wenye sura mbovu kuliko jamaa, tena nyie ni wanawake. Kwani uongo?
 
easy man easy! don take jf serias yoo!
 
Umeona hana ubaya wowote sema tu Jf utani umezidi watuonyeshe mabwana zao hapa heeee unaweza jiuliza huyu alimpendea nin huyu mwanaume
 
Smile mwambie akiifuatilia jf hvo ataja kufa kwa presha
 
Last edited by a moderator:
mkuu weka picha nyingine, safari hii piga pembeni ya gari & haijarishi kama ni la jirani & shika atm card kadhaa mkono wa kushoto wa kulia noti nyekundu kadhaa. Utawapata tu.

(Usisahau kutabasamu )

Hahaaaaaa....sijui amekusikia ama ndo kapandisha tinted
 
Back
Top Bottom