Penzi la mtandaoni

Penzi la mtandaoni

Tangaza nia mkuu, dada zetu wa humu ndani wanataka sura ya kazi kama hiyo

Mkuu, umesababisha nimepaliwa na makande.
Mbona sijawahiona KE w jf wakiweka tangazo la kutaka sura za kazi?
Alafu ndokazigani hizo?
 
Mkuu umetoka kupata ajali au ndio respesheni yako ilivyo?

Mkuu, mibado nacheka tu.
Jamaa anasura kama ananusa harufu mbaya, yaani sura nzito balaa na hapi ndio nimeona kalazimisha tabasam na dimpoz za kulazimisha.
 
Huu uzi leo umenimaliza mbavu uuwiiiiiiiii,hakika usiku wangu u mwema,
 
Siku nyingi sana huwa nnatamani sana kupata mpenzi mwenye penzi la kweli kupitia mtandaoni,lkn cjawahi kupata!! Nifanyeje? Km yupo,namhitaji sana,lkn asiwe mpenda raha. Mi nataka wa kuniliwaza kwa penzi la dhati na si kwenda club.

weka sivii baba. Primary ulisoma canada, secondary america hadi six, first degree england. Ukarudi kidogo nyumbani ukaajiriwa pale magogoni. Baada ya miaka miwli ukaenda ujerumani ukachukua masters. Kwa sasa uko magogoni kama mshauri wa bwana mkubwa kuhusu uchumi. Kopi weka profire hiyo ung'oe mtoto wa ukweli jf. Watu hawaangali sura siku hizi. Wenzako ndio tunavyong'oa.
 
uwiiiiii weka koti la suti vizuri!!!!!! duh utapata tu usijal
 
ha ha ha ha ha ha ha Smile pochi nene hapo
 
Last edited by a moderator:
weka sivii baba. Primary ulisoma canada, secondary america hadi six, first degree england. Ukarudi kidogo nyumbani ukaajiriwa pale magogoni. Baada ya miaka miwli ukaenda ujerumani ukachukua masters. Kwa sasa uko magogoni kama mshauri wa bwana mkubwa kuhusu uchumi. Kopi weka profire hiyo ung'oe mtoto wa ukweli jf. Watu hawaangali sura siku hizi. Wenzako ndio tunavyong'oa.
tatizo amezeeka sana hadi anatoa mvuke...nani akae eda mapema hivo!pesa sio maisha
mwambieni atumie ant ageing pills
 
Back
Top Bottom