Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

mkuu.naomba tu uvune ulichokipanda.....hiyo mimba usiitoe......mlee na mtoto azaliwe.....muda ukifika mueleze mkeo ukweli....ingawa itauma lakini hiyo ndiyo hali halisi.......

thanx,naomba niendelee kuufanyia kazi ushauri wako but kama utapata mwingine bora zaidi ya huu tafadhali sana usisite kunishauri
 
Kutoa mimba ni tatizo,na kuwa na mtoto wa nje ya ndoa si tatizo?Fanya maamuzi magumu na utubu mungu atakusamehe nawe sio wa kwanza kufanya makosa hayo

we una mawazo ya kishetani...humu Jf watoto wavnje ya ndoa Hanna?mbona wanaishi vizuri tu?mbona hata kwenye bible watoto wa nje ya ndoa walikuwepo?Muogopeni Mungu
 
Ungekuwa karibu ningekukata bonge la mtama!

mkuu mie na wewe wanamme,haya mambo yanatokea mkuu,ila kwa sasa yako upende wangu,huna haja ya mitama mkuu,tuongee kiume tu tuyaweke sawa
 
Kutoa mimba ni tatizo,na kuwa na mtoto wa nje ya ndoa si tatizo?Fanya maamuzi magumu na utubu mungu atakusamehe nawe sio wa kwanza kufanya makosa hayo

nashukuru kwa ushauri wako mkuu
 
Michepuko siyo dili baki njia mkuu
 
VVU+Ukimwi vinakuita

nashukuru kwa kunikumbusha mkuu,nilijaribu kuzingatia sana hili kwa vipimo kabla ya yote,ila sikatai,kama hakuna uaminifu yanaweza kutokea wakati wa safari
 
NAKIVONA umeona kutoa mimba ni suluhisho la matatizo yao? Hujui mdau anavuna alichokipanda? Aliamua kutoka nje ya ndoa, akaacha familia bora kabisa Mungu aliyomzawadia, ameamua kwenda sehemu na anakiri kuwa huyo mchepuko ni sweet, kind, caring....

kashikwa masikio hata hajui kuwa hizo ni qualities za michepuko. Hajui kuwa huyo mchepuko ukiwa mke mambo yatakuwa yaleyale. Kozo Okamoto, umelikoroga sasa ulinywe, its time you pay for what you did. Hakuna cha kukushauri hapo coz bado unataka vyote, familia na mchepuko lakini kumbuka "mtaka vyote........"
 
Jumuiya ya wanamume inakupa wiki mbili na masaa matano...endapo hujalipatia ufumbuzi hili swala.....tutaishikiria leseni yako ya uanaume...hadi pale swala lako litakapo patiwa ufumbuzi.......
 
Eli79
Ni kweli mkuu eli,nishalikoroga inabidi nilinywe,though hata kama nimempenda huyo binti kiasi gani,moyo wangu uko kwa familia,natamani ningekuwa na uwezo wa kusahihisha makosa ili uzao wangu ubaki kwa mke wangu tu,ts hard now,almost imponsiple.
 
Last edited by a moderator:
Jumuiya ya wanamume inakupa wiki mbili na masaa matano...endapo hujalipatia ufumbuzi hili swala.....tutaishikiria leseni yako ya uanaume...hadi pale swala lako litakapo patiwa ufumbuzi.......

mkuu,ultimatum umeitoa mapema sana mkuu,hivi hakuna ushauri sahihi naoweza kuupata kutoka katika jumuiya yetu hii kabla ya kunipa ultimatum?huoni kwamba jumuiya inanitenga bado mapema?
 
Kama ni mjamzito hapo ni tatizo aisee, kuzaa nje ya ndoa nako ni shida sana ...
 
Pambafu wahed,ningeukuwa karibu ningekutupia dongo. Wanaume tubadilike jamani. Mi mwenyewe yamenikuta kwa kuachana na binti niliyezaa nae kisa binti Wa Kongo. Vinajua mambo ya 6*6 balaa. Unakoelekea ni kubaya sana. Achana nae,una uhakika mimba yako. Labda kakuona boya NFL mana amekupa mimba. Dume zima limeshika mimba. Ntakununulia pampas.

Mkuu,najua pa kuingilia na pa kutokea katika suala la mimba,kwa muda niliokua nae nina hakika mimba ni yangu,unless otherwise awe kanichezea ka mchezo mchafu flani ambako kwa mazingira ya kawaida ni ngumu kidogo lakini kwa kuwa ni mwanammke siwezi kumpa asilimia 100

kwamba hawezi kunichezea mchezo mchafu
 
ni kweli mkuu eli,nishalikoroga inabidi nilinywe,though hata kama nimempenda huyo binti kiasi gani,moyo wangu uko kwa familia,natamani ningekuwa na uwezo wa kusahihisha makosa ili uzao wangu ubaki kwa mke wangu tu,ts hard now,almost imponsiple

Kiongozi, tulia ulee familia yako. Wanawake hawaishi duniani na kila unaepishana nae njiani ni mzuri sana. Your kids need you, your family needs you. Ukibeba maradhi yasiyotibika utawaacha watoto wadogo na yatima na ndio mwanzo wa laana ndani ya nyumba yako.

Kuhusu hiyo mimba, ilee na mwambie huyo mchepuko kuwa utamhudumia mtoto coz ni wako, lakini kuhusu mahusiano tafadhali achana nae. Haya mambo hayaishi, yapo siku zote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom