John Daniel
HALI ya vitisho imeendelea dhidi ya baadhi ya viongozi wa dini nchini, ambao wamejitokeza kufichua siri za magenge yasiyo na maadili kitaifa yanayoendeshwa kwa ushirikiano kati ya baadhi ya viongozi na wafanyabiashara wa dawa za kulevya, Raia Mwema, imeelezwa.
Mwenyezi Mungu akulaani.Utaratibu tuliojiwekea ni kwamba mtu ukitajwa tajwa basi unatakiwa kujivua gamba. Kwa hiyo Mhashamu Polycap Kardinali Pengo ametajwa tajwa kwenye madawa ya kulevya basi hana budi kujivua gamba asiendelee kulichafua kanisa la la mungu.
Haswaa,wala hujakosea! Wangapi wanamkumbuka Leonard Bhonke mhubiri wa kimataifa? Alikuwa anakusanya maelfu ya watu viwanja vya wazi,pia alihubiri live kwenye radio na tv akiwa uwanjani,lakini akanaswa na shehena ya madawa ya kulevya. Kikwete kwenda kuwaambia maaskofu kuwa viongozi wa dini waache kuuza madawa ya kulevya we unadhani alikurupuka? Na alipopewa masiku ili akanushe au adhibitishe na yeye kukaa kimya ulidhani yeye *****? Alijua akiwasema hadharani kuwa ni fulani na fulani hali ya nchi itakuwa hatarini kwani watu wa madawa hujipanga kwa njia zote. Mfano ikipangwa JK auwawe,na mpango ukafanikiwa basi ujue yale ya Rwanda yatakuja Tanzania lakini itakuwa baina ya Waislam na Wakristo.
Unaongelea POLISI ipi? ya Mwema? inayochunguza USAFI wa chenge? Usafi wa Lowasa? Polisi hii tunayoijua ndo unaipa matumaini na imani hiyo?wewe unajua sheria?
polisi hawakamati kila mtu wanaeambiwa ni mhalifu
lazima wawe na taarifa na ushahidi wa kukubalika mahakamani....
ndo maana wapo majambazi wakubwa wa ki mafia marekani
walikuwa hawamatwi ingawa wanajulikana wanachokifanya....
fuatilia historia za kina JOHN Gotti na AL Capone na wengineo akina Lucky Luciano....
Kaka tafadhali tusiende huko. Kila unapoona kanisa ni zao la michango ya waumini wa eneo hilo na sio makao makuu ya kanisa. Kwa kifupi sio kazi yako kujua namna gani kanisa linatumia fedha zake kama ambavyo si kazi yangu kujua kwa nini mna misikiti ya ghorofa bila shule ya maana. Hutasema nakukejeli nikikuuliza kwa nini hawa wanaowajengeeni misikiti kwenye vituo vya mafuta hawawajengei na shule na hospitali?
Hapa naomba tujadili juu ya nini serikali inapaswa kufanya inapogundua clues za uhalifu; kuweka mtego na kumnasa mhalifu au kutangaza.
Ni nini serikali ifanye inapokuwa na hakika kama Lowassa ni fisadi: Imfungulie mashtaka mahakamani kwa makosa yake au ijisemeshesemeshe kwenye vikao vya NEC bila kuchukua hatua.
Kweny matumizi na mipango ya kanisa ni nje ya mada.
Hii hbr imepangwa na kikundi kdg cha watu, na wamelitumia gazeti la Habari leo ambalo chuki yake dhidi ya kanisa katoliki ilidhihirika tangu sakata la Sumbawanga. CCM wameamua kufanya mchezo wa devide and rule, lakini kuna siku watajuta.
Pengo anasema kaiona list ya wauza unga nae yumo, but anadai kabambikiwa ili kumtuliza. hebu mtujuze great thinkers
=======
UPDATE
=======
Uchaguzi si wa Pengo we Ngoda mbovu!anachotakiwa ni kuachana na biashara hiyo aidha moja kwa moja au kupitia wakala wake. Kuendelea na biashara hii mwisho wake si mzuri. Hata hivyo niewahi kuwasikia waliobobea katika biashara hiyo kuwa , ukiianza biashara hiyo huwezi kuiacha hata kwa kushikiwa bunduki. Uchaguzi ni wa Kardinali Pengo kusuka au kunyoa.
Mhashamu Kardinali siku zote amekuwa akisema ukweli. Kwa hiyo serikali hawapendi kuambiwa ukweli. Ukiwaambia kuwa hali ya uchumi ni mbaya kwa sababu ya uongozi feki wao wanakasirika wanataka sifa za kichinga. Kardinali pengo usirudi nyuma hata kama watatumia mbinu za umafia kukubambika hayo madawa hawataweza. Unavijana wengi wanaokupenda. Wakitumwa kuja kudhuru hawatafanya hivyo. Watakupa taadhari mapema. Mungu yu pamoja nawe.
Time will tell who is the liar and the truant!
Mwenyezi Mungu akulaani.
Uchaguzi si wa Pengo we Ngoda mbovu!
Uchaguzi ni wa JK kuwachukulia hao watu hatua ze kisheria, acheni ujinga.
Utaratibu tuliojiwekea ni kwamba mtu ukitajwa tajwa basi unatakiwa kujivua gamba. Kwa hiyo Mhashamu Polycap Kardinali Pengo ametajwa tajwa kwenye madawa ya kulevya basi hana budi kujivua gamba asiendelee kulichafua kanisa la la mungu.
Haswaa,wala hujakosea! Wangapi wanamkumbuka Leonard Bhonke mhubiri wa kimataifa? Alikuwa anakusanya maelfu ya watu viwanja vya wazi,pia alihubiri live kwenye radio na tv akiwa uwanjani,lakini akanaswa na shehena ya madawa ya kulevya. Kikwete kwenda kuwaambia maaskofu kuwa viongozi wa dini waache kuuza madawa ya kulevya we unadhani alikurupuka? Na alipopewa masiku ili akanushe au adhibitishe na yeye kukaa kimya ulidhani yeye *****? Alijua akiwasema hadharani kuwa ni fulani na fulani hali ya nchi itakuwa hatarini kwani watu wa madawa hujipanga kwa njia zote. Mfano ikipangwa JK auwawe,na mpango ukafanikiwa basi ujue yale ya Rwanda yatakuja Tanzania lakini itakuwa baina ya Waislam na Wakristo.
Kwa hali hii,kila atakayetajwa naye atadai amesingiziwa!:focus:Inawezekana kweli anasingiziwa ili afunge domo asiwaseme mafisadi. lakini hao wanaomsingizia nia akina nani serikali au?
Utaratibu tuliojiwekea ni kwamba mtu ukitajwa tajwa basi unatakiwa kujivua gamba. Kwa hiyo Mhashamu Polycap Kardinali Pengo ametajwa tajwa kwenye madawa ya kulevya basi hana budi kujivua gamba asiendelee kulichafua kanisa la la mungu.
CCM ni chama cha Kiislam na thisi time kimerudi ktk roots zake....nadhani wantangaza vita na catholics....wauza unga wengi na biashara haramu ni waislam walioiweka serikali ya JK mfukoni n wanachofanya ni kufanya km walivyo mfayia mtoto wa Mengi..Sijui kwani JK hakubali wekeza ktk hii shameful scheme km enzi ya mwinyi.....Ima akili inatosha kuwamaliza hawa jamaa.....akili inatosha kuwafanay wabwabwaje tuu..soona CCM wataanza wabambika CDM halafu bil aaibu gaidi kova ajifnaya nawajibika....Mtikila was right....